Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,214
- 29,383
π€€π€€π€€π€€Hello ππ Dr Lizzy View attachment 2627911
Hapo presha lazima,ukipata chance unawaacha solembaπ π
Alafu utaratibu wa Baba na Mama kwenda Kliniki pamoja umeongezwa hadi mtoto aache kunyonya.
Piga mahesabu ulichepuka miezi 3 iliyopita na unatakiwa kupima afya Mama, Baba na Mtoto wenu π
Bado hujala kumbe....?Ujaniita mbona
Kwann umesema hivyo Dr πKumbe we ndugu yangu?π―π
Hiyo ni barbecue sauce.
Ndio sitak kula wali ase nataman vitu kama ivyo vya kukaangaaBado hujala kumbe....?
πππKwann umesema hivyo Dr π
Kisusio nakinywa utasema vampire
Si yaliahaishaga au?Weka picha nimekusahau
Jifurahishe sasa...Ndio sitak kula wali ase nataman vitu kama ivyo vya kukaangaa
Yap pande hizo unazosema kweli kinaitwa kisusio tukutane mwezi wa 12 ππππ
Ndo tunavyokiita kwetu so I always thought ni kule tu.
Mi sijanywa miaka mingi sana ila nilikua napenda.
Sikuiona hii comment hahaha you guys are too much now!!Anateseka sana hadi anakumbuka mikasa ya utotoni alipokuwa anawinda nyoka Satoh Hirosh ππ
Thread 'Umeshawahi kukutana na balaa la nyoka?' Umeshawahi kukutana na balaa la nyoka?
Unipitie!!!πYap pande hizo unazosema kweli kinaitwa kisusio tukutane mwezi wa 12 π
Usiwaze andaaa meno π»Unipitie!!!π
Bora uwaambie jamani, wanatusonga sana kha π
Wakija kushtuka umefika nyumbani π πHapo presha lazima,ukipata chance unawaacha solemba
Jasho jingii sanaaWakija kushtuka umefika nyumbani π π