Ila Muhimu kucheza salama tu, wanasema maisha matamu kufa kizembe π€Ahahahah hata mi sio muaminifu yaani ni action=reaction π€π€π€π€
Ila nipo care π§π§
Yaaah Fema ndo nyumbani..π€π€π€Ila Muhimu kucheza salama tu, wanasema maisha matamu kufa kizembe π€
Kwakweli mambo yenu tunawaachia wenyewe πππππ!Hahaha...............ndiyo msisahau kutuombea, ikiwezekana tusione na kishimo kabisa π
ππππYaaah Fema ndo nyumbani..π€π€π€
Narudiiii π€£π€£Rudi ofisini chap!
Narudiiii [emoji1787][emoji1787]
Ila kuna umri ukifika automatic unaacha mwenyewe.Kwakweli mambo yenu tunawaachia wenyewe πππππ!
Wengine hawachagui kila shimo linalokatiza mbele yake yumooo hajiulizi mara mbili wakuwasaidia nyie ni mungu pekeeππππππ!
Subiri nifike nyumbaniNaomba picha tasavali
Dunga dunga .....Kwakweli mambo yenu tunawaachia wenyewe πππππ!
Wengine hawachagui kila shimo linalokatiza mbele yake yumooo hajiulizi mara mbili wakuwasaidia nyie ni mungu pekeeππππππ!
huna lile wala hili kakipimo hako, huwezi kimbia wala nini π π πHahaha..............huo utaratibu wa kwenda Kliniki na Mama anapokuwa Mjamzito inasaidia sana kupunguza maambukizi mapya.
Kuna watoto wadogo wanapata kutoka kwa Wazazi ambao wameshindwa kujua hali zao mapema π
Umri upi huo....!!??π€π€π€Ila kuna umri ukifika automatic unaacha mwenyewe.
Utaona Zote sawa ππββοΈπββοΈπββοΈ
Nipo njiani naelekea Babati kukufatia raba ππ
Na anavyopenda kunyonya yaani nikirudi jioni ataganda kifuani bila vitisho hatoki nina mpango wa kumuashisha kwa lazima π¬Hahahaaa... kuendane na kupunguza chakula sasa na we unanyonyesha ujuee lazima ule mtoto apate chakula yake yenye afya 100%
Tena aende anakimbiaRudi ofisini chap!
Wahivo mungu awarehemu tu no wayπππ!Ila kuna umri ukifika automatic unaacha mwenyewe.
Utaona Zote sawa ππββοΈπββοΈπββοΈ
Tena aende anakimbia
Maana saa 12 ndio hii
Mara ya kwanza nilitaka kukimbia majibu pale Hubert Kairuki, ilikuwa ujauzito wa first born wangu.huna lile wala hili kakipimo hako, huwezi kimbia wala nini π π π
Amen πWahivo mungu awarehemu tu no wayπππ!
Amefika umri gani Saivi???Na anavyopenda kunyonya yaani nikirudi jioni ataganda kifuani bila vitisho hatoki nina mpango wa kumuashisha kwa lazima π¬