Maendeleo ya jamiiShule au chuo gani pale
Nime donate BLOOD tu aisee π π πWoow π₯°
How was it?
Uliza tuu... π€π€π€ Una haki..Nilitaka kumuuliza hivyo ila nikasita nisionekane nachunguza maisha ya mtu π€·πΌββοΈ
Road ya jeshini sio?tengeru boys....
Misisitize Mjeshi kuwa kule Sudan kuna warembo wakali wa Kihabeshi lakini akumbuke kujilinda ππββοΈπββοΈπββοΈEendiwoooooooo babuuu asante kwa kutukumbushaa!!
Amen πSawa ushauri wako ni muhimu kwetu
Kwa nini unajipima mara kwa mara unauza mechi au uliyenae humuamini?Ni kweli Mkuu, ingawa kuna warembo wengine wanashawishi mno hadi kujikuta unasahau Kiapo kwa muda π
Mbona bado anaendelea ku dislike tu π π πWatu wana stress za maisha ndugu, so wanakuja kuzimalizia huku
ndio ndio... ile shule ya seminari....Road ya jeshini sio?
Hajafikia huko kote dogo 19yrs bado sanaπMaendeleo ya jamii
Cheti na dip miaka 3
Akapewa na mmoja wa nyongeza wa kujifunza kulima karoti
mshamba_hachekwi
ndo mambo yake kutengeneza id hovyoSio yeye kusema ana ID mbili au π€π€π€
Starehe yake hiyo..Kwa nini unajipima mara kwa mara unauza mechi au uliyenae humuamini?
Hahahaha...............kama unaweza kumuona mrembo kwenye picha na ukafika kibo kwanini ushindwe kula Pipi na maganda πββοΈπββοΈπββοΈπ€π€π€π€ Hayo mambo yanahitaji moyo..
Hiyo ya pipi kula na maganda ni mambo yaliyopitwa na wakati..@π€π€π€π₯±
si ningekua mwalimu ilboru saivi πMaendeleo ya jamii
Cheti na dip miaka 3
Akapewa na mmoja wa nyongeza wa kujifunza kulima karoti
mshamba_hachekwi
ππ Tengeru walimkomazaHajafikia huko kote dogo 19yrs bado sanaπ
Kitambi kiko wapi ina maana siku ile nilisema mimi nina kitambi cha kufutia simu nawe ukasema unacho kumbe ni uwongoπ¬ππMuwe na Jioni njema wapendwaaa! Enjoy your evening βοΈβοΈβοΈβοΈ!
Nilikuepooooooo βοΈ!!
Kwamba Ilboru pale wanasoma na mambo ya karoti?si ningekua mwalimu ilboru saivi π