Umri huo ushakuwa mtu mzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann??
Hata wasikutishee mwayaaa, maisha ni vile unaishiii, ukisikiliza ya waja mbna utapotea.Umri huo ushakuwa mtu mzima
Yahitajika kama hujaolewa uwe na stable partner , usihangaike kama kuku .
Pia ke sie uzuri unaenda umri , ulivyo 20 mrembo haitakuwa hivyo ukiwa 30 .
Muda ni mchache hivyo kwenye fertility , uko likely kuproduce eggs nyingi kwa 20 hadi 30's baada ya hapo wanasema kizazi kinasogea .
Asante kipenzi mie sijali sana ππ , God's timing ndo muda sahihi .Hata wasikutishee mwayaaa, maisha ni vile unaishiii, ukisikiliza ya waja mbna utapotea.
Mie na G tuko poaaah.A
Asante kipenzi mie sijali sana [emoji23][emoji23] , God's timing ndo muda sahihi .
Hamjambo na G
You know it!!!!π€©ππ nianze kuandaa na kapilipi.
Hiyo mixer huku Kaskazini ni hapana papikwe pilau bila ndizi π
kama kawaida yetu tunasuuza koo kwanza kabla ya main courseπ
Sasa je.....πππkama kawaida yetu tunasuuza koo kwanza kabla ya main courseπ
mzee najua hapa umefall in loveπ SDY wa kimataifa....View attachment 2626920
View attachment 2626918
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
View attachment 2626919
Sangoma kumbe una kiatu kizuri hivyo!
HayarerrrTuma number uone
Sangoma kumbe una kiatu kizuri hivyo!
Haya Raha hiyoTuma number uone
Waongeze kodi kwenye make upsView attachment 2626920
View attachment 2626918
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Weuweeh couple ya maana hiiMie na G tuko poaaah.
Engs na couple yetuu ya kibabeee, afu haturingi wala nn.
Tutazaa watoto Engs na DRs. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyama imetuliaaa πππ naja fastaaa na kontena la matikiti ππ
Linaonekana tamu hilo! π€€π€€π€€Nyama imetuliaaa πππ naja fastaaa na kontena la matikiti ππView attachment 2626956
yaani unaamini kabisa naweza kupika vizuri hivyo??Naomba mpishi aselfikee
Hiv weekend inaanza kesho eehAsante nimeyapokea