mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
mi naona ukishaziangalia uzifute tu kimyakimya😅 tatizo unataka uonyeshe masela we mwamba😂Kisheria ni kosa kubwa sana. Sijui kesi zao huwa zinaishiaga wapi maana nasikia Mwijaku ndiye aliyevujisha ile ya Menina mpaka leo Mwijaku anadunda tu kitaa