Sikuhizi wanaimbamapenzi yangu yaweke usiyatowe asilani
mapenzi yangu yaweke usiyatowe asilani
mapenzi yangu yaweke usiyatowe asilani
Penzi Lina Raha yake asiejua ni nani *2
Penzi mfano wa pete uvaapo kidoleni*2
Mapenzi Matamu niwapo nawe mpenzi sioni mwengine wakufanana naww, nitalienzi penzi lako sitokuacha asilan
UKIIMBIWA HIV UNAHIS NCHI HAINA TRA
WALA TOZOππππ NGOJA UKANYAGE HAPO NJE.
Nikopoa tunachangamsha gengeπMzima kabisa mamaa, sijui weye
Si heri PAYE haiumi sanaUkitoka nje unakuta PAYE iko pale paleππ
πππmkipata vivocha basi hizo video call kama zote π
Love emoji inawachozisha kabisaππSikuhizi wanaimba
Soon ntakusave na love emoji nitoe official nameβ¦
Unga kilo Elfu nneπππUkitoka nje unakuta PAYE iko pale paleππ
Acha tu na bado unaachwa πππLove emoji inawachozisha kabisaππ
Hahaha nipoooWizoo akeee Tayana-wog Nakusalimu kwa jina la selfika mamaaaβ!
Hauna ka selfii mchana Wangu uishe vizuri dear!
Acha kabisa kwakweliSi heri PAYE haiumi sana
Tozo za ATM na bundle kuisha chap mixer mchele grade 1 kutokutoka nje ya 3500
Hehhee Mimi naonga me ndo mnapenda video callmkipata vivocha basi hizo video call kama zote π
Hatutaki tumegoma πGreetings in the name of YangaπβοΈ
ππ si life tu. Ila marufuku kulia week nzimaAcha tu na bado unaachwa πππ
Tena siku ya kuachwa unaongezewwa na nyimbo ya masikitiko πππkama dedicationAcha tu na bado unaachwa πππ
Lazima utoe outing kwanzaShida zikae pemben Kwanza nifrahishe mtoto WA mtu mapema kabla haja give up πππ
labda wanyonya lips πHehhee Mimi naonga me ndo mnapenda video call
Kulia for what, no time hata ya kuheal we are not sick abiππ si life tu. Ila marufuku kulia week nzima
Kabisa kabisa. Ni kubuy time masaa yasogee siku ikwisheNikopoa tunachangamsha gengeπ
Au unapigiwa videocall akiwa na mpenzi wake mpya wanakuzomeaTena siku ya kuachwa unaongezewwa na nyimbo ya masikitiko πππkama dedication
Safi my dearMambo dear