ππππππraha sana kusumbua mtu usiku 'bebi umekula??' eti π
Hatuwapangi hats πππNa
Na nyie mnatupangaje?
Mgande anaeonesha kukuganda dear mbona utaenjoy!ππΊAsikwambie mtu kwanza kufa nje nje mbinguni sijui kma nitafika au nitaenjoy Hela Sina kilichobaki kugandana na mtoto wa mtu π ama nene
Yaani hupendezei kupoaHebu muitee nimchambeee jamani, nimemis kucharuanaa nae, maana nimepoaa hadi najiogopaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mgandano heavy maana iyo Tena Decembet Cha kufia NiniπππNa hiv tunaenda June yaaan n mgando mngando mpaka kielewekeπ
Shauri yako π€ππππNitakufa kiumeπππ
Kweli dear kama huenjoy mapenzi na mwenzako jamni na unaishi nchi ya tozo utaishije sasaπππjua lilivo KaliMgande anaeonesha kukuganda dear mbona utafurahiaa!!ππΊ
Shida zipo Tu pale pale ila KwanzaMgandano heavy maana iyo Tena Decembet Cha kufia Niniπππ
Ulituma? NiitafuteNitume ya eneo gani ππππππ
kosa langu mimi kwako ni lipi labda....Mwanaume una lips mzuri uho ni umama
Akili zako unazijua mwenyewe weweπππ!!Hebu muitee nimchambeee jamani, nimemis kucharuanaa nae, maana nimepoaa hadi najiogopaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha anza tu πππAcha nianze kampen ya kukuondoa hapoππ
Nishtue na yako my wangu, kisha nakuelekeza zangu zilipo ππUlituma? Niitafute
Unaweka vitu moyoni dear acha yapite usijihukumu Kwa makosa sio Yako mtu ulimpenda hakupenda Kosa lako hapo nn?Mie mwenyewe napenda kweli mapenzi sema hayanipendi ππ
πππnielekeze kwanza ndo napitia leo huu uzi etiNishtue na yako my wangu, kisha nakuelekeza zangu zilipo ππ
Msomali ππ
Tinπ€£π€£πMie mwenyewe napenda kweli mapenzi sema hayanipendi ππ
Mie ambacho sipendi kupigiana simu saa tano usikuraha sana kusumbua mtu usiku 'bebi umekula??' eti π
Si ndo hapo Sasa ππShida zipo Tu pale pale ila Kwanza
Mapenz yatupe Rahaππππ