Selfika na JF: Snap it. Show it

Ah wanakera aiseee
Hivi walikuwa wapi

Sasa mtu kama mie siwezi kutoka na watu wawili, lazima nimbwge mmoja .

Nahisii ukiwa na baby unaonekana maana lazima uvutie muda wrote
πŸ˜‚πŸ˜‚Labda lkn ni kuwekana majaribuni tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜€Ooh hongera Mimi siwez kuwa single mda mrefu napenda kupendana Yani najisikia ufahari kumpenda mtu siachi had mapenz yaniue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata umenikumbusha ngoja nitafte sleep over ya Leo mapemaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜€Ooh hongera Mimi siwez kuwa single mda mrefu napenda kupendana Yani najisikia ufahari kumpenda mtu siachi had mapenz yaniue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukiyaendekeza yatakuua kweli ujueeπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…