Hongera sana kula maishaMadam sikufichi, naenjoy kinyamaaπππ
Ukisikia njaa, unajiambia baby tukaleππHongera sana kula maisha
Mimi naona Raha ya kuwa single yaani unakuwa free unaweza kunywa maji hata kwenye jagi hakuna wa kukuuliza πππ
kutooa sio tatizo ila you have to get some πKwamba hautaoa na wewe ??
Alijikaza kiume dahπππ
Ya mbele siyajui, ila iam just focusing nowKwamba hautaoa na wewe ??
Nahhhh, unataka kunipotezaππkutooa sio tatizo ila you have to get some π
Hehhe some what ππkutooa sio tatizo ila you have to get some π
sasa wanawake mnaona raha gani, muwe single msiwe single, hela haziwatoki....Hongera sana kula maisha
Mimi naona Raha ya kuwa single yaani unakuwa free unaweza kunywa maji hata kwenye jagi hakuna wa kukuuliza πππ
Ndo nyie 42 unatafuta jiko .Ya mbele siyajui, ila iam just focusing now
najua nafsi yako inakusuta πNahhhh, unataka kunipotezaππ
Madam sikufichi, ain't doing that kind of stuffNdo nyie 42 unatafuta jiko .
Kwani mi Nina ninininini πππnajua nafsi yako inakusuta π
πππAu unagonga mlango unaingia ndani unafungua mwenyew alafu unasema waooh bby πππUkisikia njaa, unajiambia baby tukaleππ
Kwani tatizo ni ela πsi mngesema tu tusiwaombeπsasa wanawake mnaona raha gani, muwe single msiwe single, hela haziwatoki....
yupo kweli?? mi naona ni fairytales kama kwenye cinderella πHehhe some what ππ
Anyway kuoa ni nzuri hasa ukimpata mnayependana na chaguo lako .
maisha sio marahisi hivyo....Kwani tatizo ni ela πsi mngesema tu tusiwaombeπ
Jinga Sana ππππππAu unagonga mlango unaingia ndani unafungua mwenyew alafu unasema waooh bby πππ
Eti Cinderella, kaangalie hotel transvania ni π₯π₯yupo kweli?? mi naona ni fairytales kama kwenye cinderella π
Siku moja mkaka kanisani kasema hivi yeye haoi maana huduma zote anapewa kbla ya ndoa , ndo maana haoni haja kuvuta jiko .Madam sikufichi, ain't doing that kind of stuff
Na kwanini nizigawe au chezea pesaaππmaisha sio marahisi hivyo....