Selfika na JF: Snap it. Show it

The more you spoil her , the more you will enjoy the show -Anonymous πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hebu imagine wewe ni mwanaume uliyefulia.... afu una ugwaduπŸ˜‚ kila mahali mizinga utajiskiaje??
hapo unatafuta manzi simple unayejua hapo ghetto ni kwako , utamnunulia chipsi kuku na elfu kumi ya asante/usafiri.
 
The more you spoil her , the more you will enjoy the show -Anonymous πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

hapo unatafuta manzi simple unayejua hapo ghetto ni kwako , utamnunulia chipsi kuku na elfu kumi ya asante/usafiri.
hivi unajua kuna watu hata hiyo elf10 hana??πŸ˜‚ mnaangalia sana hela skuizi, barrier to entry imekua kubwa..... ndo maana kuna ongezeko kubwa la wanaume ambao ni 30 yr old virginsπŸ˜‚
 
Sasa jamani hata elfu kumi duh
Mmhhh aende atafute pesa aenjoy mema .

Duh kwa mjini hapa ngumu , usimpe hata elfu tano kweli .
 
Kuna mkaka aliniambia a day before kukutana na manzi wake anamtumia hela ya kujisoap .
Muwe mnafanya hivyo .
Hahahaa yaani siku ya kupewa tunda inakuwaga na gharama sana bado atataka ya usafiri au mafuta ya gari mkimaliza tena posho na msosi πŸ˜…
 
Hao ni expensive , atataka aende Fanya waxing na facial kidogo

Posho na msosi ni vya muhimu zote hizo zinakupa moyo na kukupooza uchungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…