Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi yale majina mnayotupea huwa mnafikiria nini kuna mwanangu alishtuka kumbe manzi wake alikuwa amemsave jina dakika 3 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Cc; Tinsley
Mtu ukiwa hujamuweka moyoni unamuona wa kuja , so unaamua kumsave chochote kile .
Sio fair lakini kumsave mtu majina ya ovyo .. Kuna wengine wasumbufu na haukumbuki ulimpa namba wapi au jina hujui unamsave tu cha usumbufu .
 
🀣🀣🀣 ona sasa eti 'cha usumbufu'

Sisi huwa tunawasave majina mazuri angalau ila nyie daaah yaani mnatafutaga sifa mbayambaya ndo mnatusave.

Kama yule mwanangu alikuja kujua sababu ya kuseviwa jina dakika 3 penzi liliisha aliona amedharauliwa sana
 
Duh so sad
Sijawahi saviwa jina nzuri , I guess I'm not lucky in dating .
Huwa ni jina langu kavu πŸ˜‚πŸ˜‚

Pole yake duh , sasa muda mwingine mtu anakukera tu kukuchefua umemsave vipi jamani.
 
Siku zote me ndo mwenye nguvu na Mungu hubariki kazi ya mikono yake .

Hayo tuwaachie wanandoa au serious couples

Sie wa miezi mitatu mmenda separate ways hapana
Mwanamke ukiishi kwa shida unafeli sana.... Huku chuo naona jinsi watu wanavopangwa, Dem ana support group yake
 
Mwanamke ukiishi kwa shida unafeli sana.... Huku chuo naona jinsi watu wanavopangwa, Dem ana support group yake
Bora shida tu aisee
Kuliko kuchezewa hovyo

Yaani bora nisisuke , nisile vizuri ,nimekuja kujua mimi ni thamani sana , pesa si kitu .

Utapewa Leo laki moja , utasuka elfu 40, utapaka rangi elfu kumi 10 . ukibaki na 50 labda utatumia kula

. ishaisha hiyo huku umejiunga kiroho na watu usiowajua
 
Kwa nilvyo viona naogopa sana madem hasa chuo
Kuna mtu alichomwa kisu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…