Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijawahi kujihisi Kwa suala Hilo offcourse sijawahi fanyiwa kitu kama icho, lakini sijui why nimejisikia vibaya Kwa ilo sorry kama nimekukwaza Kwa ilo
Hahaha, natania bana

Ila hawa watu ntawaumbua tu, siwezi kuwakingia kifua kabisa,

Mtu akitaka vitu vixuri, sharti avipambanie

Maana,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ kuna unaniliuu mwingi sana humu
 
Ndo huyo, huyo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†,

Tena kati ya hao waliopigwa mtungo kuna kidume kimenasa kwa 1 na anataka kumuoa kabisa,

Huyo jamaa Mungu amsaidie tu asije akafa na pressure, tukaanza kuxika tena kisa mapenzi,
 
😁😁😊😊! Uthibishooo ankolii uthibishooo sio poahhhπŸ˜πŸ˜πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‚!!
We sio kirahisi hivyo, πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ubaya ni mwingi mpaka zingine nimefuta kutunza screenshot 276 sio kazi rahisi ww πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hahaha, natania bana

Ila hawa watu ntawaumbua tu, siwezi kuwakingia kifua kabisa,

Mtu akitaka vitu vixuri, sharti avipambanie

Maana,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ kuna unaniliuu mwingi sana humu
Ankoli Inaonekana una hasira naooo kinoumaaa!!!😊 Walikudhulumuuu niniii?? Au walikuomba mtaji???πŸ˜πŸ€—
 
Ndo huyo, huyo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†,

Tena kati ya hao waliopigwa mtungo kuna kidume kimenasa kwa 1 na anataka kumuoa kabisa,

Huyo jamaa Mungu amsaidie tu asije akafa na pressure, tukaanza kuxika tena kisa mapenzi,
Doh basi Itakua sio huyoo ankali huyo! Huyo naesemea hana story za mtungo ankali akee!!
 
Hahaha, natania bana

Ila hawa watu ntawaumbua tu, siwezi kuwakingia kifua kabisa,

Mtu akitaka vitu vixuri, sharti avipambanie

Maana,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ kuna unaniliuu mwingi sana humu
Usiwaze najua utani
 
Doh basi Itakua sio huyoo ankali huyo! Huyo naesemea hana story za mtungo ankali akee!!
Duuuh, basi nimechanganya mafile tena 😒😒😒😒😒😒

Hiyo ndo shida yangu kubwa, πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘

Inabidi nijipange vizuri asee
 
😁😁😁😊!
Mafile yamekua mengi ankoli yadelete uyapunguze memory iwe ma nafasi ya kuingiza files nyingine πŸ˜‚
 
Hahahaaa... !Wapuuze Achana nao kila mmoja ashinde mechi zake ankali akee jf ni kichaka kinene chenye kila aina ya wanyama/ wadudu/nyasi you knowπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‚!
 
Sawa auntiee akee β˜ΊοΈβ˜ΊοΈπŸ€—πŸ€—πŸ€—

Ww ukisema mimi ni nani nikatae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…