Halafu wee dogo shangazi who?what?which?
Sasa nimeelewa lile file lako. Ni hivi ukiona nabebishana hadharani, hapo hamna kitu. Mwenye mali simuaniki hadharani. Selfika hapajui. So uliyemdhania, nimemjua relax... hamna kitu toa kwa file ye34nbe
Wow hongera kumbe una wawili safi sana. Nakwama wapi mimi na huyu mmoja, miaka yote kunidekea tu 😄😄😄😄 na hataki mdogo wake kabisa. Hongera sana kipenzi, hao ndiyo best friends zako.😘😘😘
Yaani huyu dogo nitambonda soon, jana si kanipa sijui sung anamjua mwenyewe 😂😂😂😂😂
Wee simsemi, akinyakuliwa na nyakunyaku?????
BIrthday ya totoo ilikuwa lini kwanza?