Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 24, 2019 #32,961 Hazard CFC said: Msalimie Click to expand... Nani? Niko mwenyewe na blanketi langu mimi!!!
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Nov 24, 2019 #32,962 Aaaah wapi wewe sijawahi kua na shaka na wewe bana... financial services said: Picha zinaeditiwa mkuu, shauri yakoo Click to expand...
Aaaah wapi wewe sijawahi kua na shaka na wewe bana... financial services said: Picha zinaeditiwa mkuu, shauri yakoo Click to expand...
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Nov 24, 2019 #32,963 Picha?? Atoto said: Nani? Niko mwenyewe na blanketi langu mimi!!! Click to expand...
Kichaa Msafi JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 1,090 Reaction score 2,141 Nov 24, 2019 #32,964 Eli79 said: Aliyesema JF haina wadada wa hajjja tunamfunga miaka 12 jela, viboko 6 siku akiingia, viboko 6 siku ya kutoka. Click to expand... kama umewahi kukutana nao sawa unaweza ukahukumu lakini kama unaamin picha zao unaweza ukajikuta wewe ndo uchapwe hizo bakora
Eli79 said: Aliyesema JF haina wadada wa hajjja tunamfunga miaka 12 jela, viboko 6 siku akiingia, viboko 6 siku ya kutoka. Click to expand... kama umewahi kukutana nao sawa unaweza ukahukumu lakini kama unaamin picha zao unaweza ukajikuta wewe ndo uchapwe hizo bakora
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 24, 2019 #32,965 Sakayo said: Eeehhh. Msalimie anko Click to expand...
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,653 Nov 24, 2019 #32,966 Time to pick up mommy. Bye lol.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 24, 2019 #32,967 financial services said: Atoto wewee Click to expand... Usifute bwana, hivyo vitu adimu vinatakiwa vikae humu kutusafishia macho.
financial services said: Atoto wewee Click to expand... Usifute bwana, hivyo vitu adimu vinatakiwa vikae humu kutusafishia macho.
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 23,503 Reaction score 29,904 Nov 24, 2019 #32,968 Atoto said: Khaaaaah!!! Yupi sasa ni wako? Watu8 Transcend troublemaker DiasporaUSA Eli79 .........nk? Click to expand... wake ni mimi the annointed one
Atoto said: Khaaaaah!!! Yupi sasa ni wako? Watu8 Transcend troublemaker DiasporaUSA Eli79 .........nk? Click to expand... wake ni mimi the annointed one
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Nov 24, 2019 #32,969 Roger Sterling said: Ujue hata mimi walivyoniambia nimeota kitambi, nilibisha. Baadae kujicheki vizuri kumbe kimeanza bana. Punchline is, ni ngumu kuji-judge fairly. Click to expand... Usiku mwema, msalimie auntie.
Roger Sterling said: Ujue hata mimi walivyoniambia nimeota kitambi, nilibisha. Baadae kujicheki vizuri kumbe kimeanza bana. Punchline is, ni ngumu kuji-judge fairly. Click to expand... Usiku mwema, msalimie auntie.
Kichaa Msafi JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 1,090 Reaction score 2,141 Nov 24, 2019 #32,970 Karma said: Pia kuna wakaka wazuri mno kama wewe hapo Click to expand... nimemchora karma wangu kwenye mawazo yangu, upo kama mwanamke mmoja smart sana mwenye asili ya kishombeshombe.
Karma said: Pia kuna wakaka wazuri mno kama wewe hapo Click to expand... nimemchora karma wangu kwenye mawazo yangu, upo kama mwanamke mmoja smart sana mwenye asili ya kishombeshombe.
Chloe 92 JF-Expert Member Joined Aug 7, 2018 Posts 568 Reaction score 821 Nov 24, 2019 #32,971 Ohoo Transcend said: Shemeghi... Click to expand...
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Nov 24, 2019 #32,972 Picha zako Karma said: Mungu wangu umesave za nini eti?? Click to expand...
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,591 Reaction score 119,708 Nov 24, 2019 #32,973 Atoto said: Khaaaaah!!! Yupi sasa ni wako? Watu8 Transcend troublemaker DiasporaUSA Eli79 .........nk? Click to expand... Mbona mchokozi lakini?
Atoto said: Khaaaaah!!! Yupi sasa ni wako? Watu8 Transcend troublemaker DiasporaUSA Eli79 .........nk? Click to expand... Mbona mchokozi lakini?
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Nov 24, 2019 #32,974 Eri nani anataka Tuachane? Sakayo said: Aimennnn Click to expand...
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Nov 24, 2019 #32,975 Yepi hayo weka hapa mkwe aone Sakayo said: Wewe Umefanya yako na sijalilia mtu akii Click to expand...
Yepi hayo weka hapa mkwe aone Sakayo said: Wewe Umefanya yako na sijalilia mtu akii Click to expand...
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Nov 24, 2019 #32,976 Eli79 said: Mbona mchokozi lakini? Click to expand... Anatusingizia jamani kaka
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Nov 24, 2019 #32,977 Karma said: Looh Hatimaye Click to expand...
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Nov 24, 2019 #32,978 Transcend said: Eri nani anataka Tuachane? Click to expand... Watu wa kwa browser
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,141 Reaction score 43,366 Nov 24, 2019 #32,979 Hazard CFC said: Aaaah wapi wewe sijawahi kua na shaka na wewe bana... Click to expand... Mmh, huo uaminifu ni kwanini mkuu, picha na uhalisia ni tofautii kabisa,I'm telling yal.
Hazard CFC said: Aaaah wapi wewe sijawahi kua na shaka na wewe bana... Click to expand... Mmh, huo uaminifu ni kwanini mkuu, picha na uhalisia ni tofautii kabisa,I'm telling yal.
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Nov 24, 2019 #32,980 Transcend said: Yepi hayo weka hapa mkwe aone Click to expand... Siri za ndani hazisemwi hadharanii... Mama alinifunza hivyo jamani
Transcend said: Yepi hayo weka hapa mkwe aone Click to expand... Siri za ndani hazisemwi hadharanii... Mama alinifunza hivyo jamani