Wanapenda sehemu zenye giza, hasa konaNdani eeeh ananikera duh
Wanapenda sehemu zenye giza, hasa konaNdani eeeh ananikera duh
Hapana sio mimini wewe huyu??
hii ndo njia sahihi ya kupima wanawake....Kuna bro mmoja alikua ni Engineer pale ewura, akampenda mdada. Ikabidi akodi chumba na kununua robota la mitumba ili ajifanye ni muuza mitumba. Dada akaona hapa njaa kali kumbe jamaa anampima tu.
Hicho kidole cha Pili toka gumba, sijui nisema 🤔
nashindwa kuelewa hapa unaninafkia, au unasema ukweli 😂😂Hapana sio mimi
Umeniuliza swali la ajabu mno ulitaka nijibu vipi 😁😁😁nashindwa kuelewa hapa unaninafkia, au unasema ukweli 😂😂
hiyo picha ni nzuri sana😂 kama ni wewe kweli basi uko vizuri....Umeniuliza swali la ajabu mno ulitaka nijibu vipi 😁😁😁
Hehheee wanapatikana wapi 😂😂unaeza ukaja kupata wale majamaa unakuta ni tajiri ila anajifanya maskini kwa muda mfupi akitafuta mwanamke ambae haombi hela, kama kwenye nigerian movies😂 utakua umeulamba😂
Nakipataje halafu ukisogea tu kinaacha kuimbaWanapenda sehemu zenye giza, hasa kona
tena ukimshushia hili verse ndo anadata kabisa 😂Here's my favourite verse from the book of Philippians 4:11-12
I have learned to be content whatever the circumstances
I know what is to be in need , and I know what it is to have plenty . I have learned the secret of being content in every situation whether fed or hungry , whether living in plenty or in want .
Hehehe wengind hatuna nyota ya mapenzitena ukimshushia hili verse ndo anadata kabisa 😂
Huyo ni wa kuotea tu maana wajanja sana. Kama kuna giza tafuta tochi, akili tu unafata mlio ulikotoka.Nakipataje halafu ukisogea tu kinaacha kuimba
Tayari🥱🥱🥺😌😌😌Tupia nikuone
Hiyo mikono natamani niishike aseeee
Hakuna mtu hana nyota ya mapenzi, hujapata anaekufaa, ukimpata hutasema hiviHehehe wengind hatuna nyota ya mapenzi
😂😂😂
Unayempenda naye anampenda mwingine 😂
Aiseee 😁😁Hiyo mikono natamani niishike aseeee
Na imagine ukininaliii kinaniliii changu 😅😁😁😁😁😁😉😉😉😉😉
Wanaitwa cicadaHuyo ni wa kuotea tu maana wajanja sana. Kama kuna giza tafuta tochi, akili tu unafata mlio ulikotoka.
Acha umbea😁😁Hicho kidole cha Pili toka gumba, sijui nisema 🤔
Shukrani , natulia kwanzaHakuna mtu hana nyota ya mapenzi, hujapata anaekufaa, ukimpata hutasema hivi
Sio mimi nime Google 😁hiyo picha ni nzuri sana😂 kama ni wewe kweli basi uko vizuri....