Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naona shida kuomba iwe mwanaume au ndugu . ikinishinda ndo naomba
Kama ni pesa unaogopa kuomba basi ni sawa tu....

Lakini kama ni hadi kuomba msaada kwenye vitu vingine labda kuna kitu hujui, au hujui kufanya, basi hapo kuna tatizo. Binafsi nina hii shida.... nakazana na kitu ambacho sina uelewa nacho, siombi msaada, afu ninashindwa....
Watu wengi wameniambia ninajikuta sana, na ndo kama hivo.... 'pride'
 
Sio kwamba naogopa sitaki , unaweza niuliza una hela ya nauli nikasema ninayo .. Sipendi hivyo eti unaa wew jiongeze nipe 😂😂

Kwa vitu vingine its okay kama ni kfanya au kunisaidia jambo nipo sawa na hilo
 
unaeza ukaja kupata wale majamaa unakuta ni tajiri ila anajifanya maskini kwa muda mfupi akitafuta mwanamke ambae haombi hela, kama kwenye nigerian movies😂 utakua umeulamba😂
Kuna bro mmoja alikua ni Engineer pale ewura, akampenda mdada. Ikabidi akodi chumba na kununua robota la mitumba ili ajifanye ni muuza mitumba. Dada akaona hapa njaa kali kumbe jamaa anampima tu.
 
Back
Top Bottom