Kumbe eeh
UNapenda kula wewe, naomba ka mshikaki basiπ
Yeah nzuri sana inavutiwaYah lkn inaiva km ulivoiona
Ooh kumbe hauna pichaNdio, zinakuwa kama yale majiko ya kuchomea nyama, Ila yenyewe unakuwa na mlango ukifunga unaivisha na joto tu.
Ngoja nikutafutieOoh kumbe hauna picha
Duh nilipitwaTunasubiria mkuu usituangushe!π
Siku nyingine igeuze tena juu chini ili juu pia ipate ubrown.Ndio alafu nimepika kwenye gesi
Hongera snNdio alafu nimepika kwenye gesi
We hupendi???? Sio mshkaki, ni nyama tu ya kukausha.UNapenda kula wewe, naomba ka mshikaki basiπ
ππChips zangu pendwa ila kimini Kiko vyediiπ
Wewe huyooooπplate imepangiliwa vizuri chakula kina mvuto....
mambo binti πWewe huyooooπ
Ooh nzuriKuna oven za mkaa haziunguzi.
ππππ
Vimini kwa afya ya miguu ππ
πππWe hupendi???? Sio mshkaki, ni nyama tu ya kukausha.
kesho church Mkuu , nakukumbushamambo binti π
umeshanikariri kiasi hicho πkesho church Mkuu , nakukumbusha
Mazuri sana