Asante karibuUko vizuri sana, hongera sana
Gesi inavyojiongeza bora mkaaAsante ni tamu sana
Inaiva vizuri tu ila Inakuwa haibadilik rangi juu ila napenda haiwez unguaGesi inavyojiongeza bora mkaa
Nitafanya namna japo uniandalie ya birthday au unasemajeAsante karibu
MashaβallahWananchi zawadi yenu hiiπ
Orange cake View attachment 2620631
Ilikupiga tukioπ πGesi inavyojiongeza bora mkaa
Oo hapo kweliInaiva vizuri tu ila Inakuwa haibadilik rangi juu ila napenda haiwez ungua
Mkaa na huko nilipokuwa nakaa sijui wachawi πππIlikupiga tukioπ π
Pole sana.Mkaa na huko nilipokuwa nakaa sijui wachawi πππ
Mkaa umelowana ni balaa
Niaje jombaaa, uko gudOi oi ,wana selfika
AsantePole sana.
Karibu kipenzMashaβallah
Kuna oven za mkaa haziunguzi.Asante
Hadi siupendi mkaa πππ
ππ Kunasiku nilipika Kwa gesi ilipoiva nikaitoa nipate Ile brown juu nikaweka mkaa ikaungua siutak tenaMkaa na huko nilipokuwa nakaa sijui wachawi πππ
Mkaa umelowana ni balaa
Kumbe eehKuna oven za mkaa haziunguzi.
Yah lkn inaiva km ulivoionaOo hapo kweli
Haiwi golden brown
Chips zangu pendwa ila kimini Kiko vyediiπ
plate imepangiliwa vizuri chakula kina mvuto....