Hehehe utanisumbuaNisubiri basi nikue uwe wangu peke yangu, eti dada ee
Thank you bro
Sasa wawaze nini kama sio sket??Hehehe utanisumbua
Napenda older guys wako matured sana , nyie vijana manawaza sketi tu ππ
You're welcome my big sister πThank you bro
I appreciate you π
Watafute pesa jamani ,Sasa wawaze nini kama sio sket??
Mimi sio kijana, kwa sasa ni mtoto Ila nitakula hamira chap niwe mzee hapo vpπ
Tunaanzia ujanani, tunazeeka wote. Hata hao wazee wali kuwa vijana ujueWatafute pesa jamani ,
The Bible says ikimbieni zinaaa
Wazee wako caring and affectionate too
Hongereni sana wana Yanga woteeeewπππππππππSelfie ziendeleee
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172]View attachment 2620527
Haya nanyi mtakuwa wazee pia mfaidi times 2 .Tunaanzia ujanani, tunazeeka wote. Hata hao wazee wali kuwa vijana ujue
Mbona unajitoaπHaya nanyi mtakuwa wazee pia mfaidi times 2 .
Angalia tu usalama kwanza, usije uka trend keshoπ πAloo
Sijui ninywe bia ngapi[emoji91][emoji172][emoji169][emoji169][emoji23]
Hehehe nimejitoa wapiMbona unajitoaπ
Kumbe tuko pamoyaaHehehe nimejitoa wapi
Ushauri kwenuKumbe tuko pamoyaa
WananchiiiiiiiiSelfie ziendeleee
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172]View attachment 2620527
Mimi siombwi hela na bby, Najua majukumu yangu kwake. Maana sio dada yangu, akiwa na mimi lazima nimtunze.Ushauri kwenu
Toeni hela kama wazeee πππ
Msibane
Vyema sana , inabidi tukuchongee sanamu lakoMimi siombwi hela na bby, Najua majukumu yangu kwake. Maana sio dada yangu, akiwa na mimi lazima nimtunze.
Sasa kama nimeupenda utelezi wako why nisikuhudumie? Eti mpaka uombe hela ya salon?Vyema sana , inabidi tukuchongee sanamu lako
Weuweeh , upo vizuriSasa kama nimeupenda utelezi wako why nisikuhudumie? Eti mpaka uombe hela ya salon?