mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,667
- 80,666
pole sana.... hilo tatizo si linatibika lakini??Nilikuwa naumwa nikaambiwa nisile mihogo Wala zao linalotana nayo kuanzia kisamvu ugaliwake
Kisamvu Cha Nazi kilicholala ni noma upate na wali