Ndefu inakeraNdefu si ndio tamu ama😁
Hivi hiyo ndio shingo ya upanga ee
Kuna wakati Kaskazini - Dar, gari ikapata pancha Bagamoyo.Yees. Kichanga cha pwani-bagamoyo kiromo. Karibuni shamba
Mzee ngoja nimalize msiba ntakutafuta baba..Asante sana mkuu..
Umeadimika sana mzee
🤣🤣🤣 UNapenda ipi saaaNdefu inakera
Sijui hata ya upanga inakuaje
Haha mnegalala tu. Watu wa pwani ni wakarimu wala msingekosa huduma. Inakua kama camping. Kila kitu kinakuwa sawa mpaka the thoght ya simu kuisha charge au kutokuwa na akiba ndo kunaleta hofu. 🤣🤣🤣Kuna wakati Kaskazini - Dar, gari ikapata pancha Bagamoyo.
Ule upepo mwanana + mchanga wake nilitamani gari isitengemae chap 😁
Utazipataje na Mimi Babu yako nipo Kijijini? 🤗Naomba uninunulie korosho pakti 2.
Wapi hiyo mkuu?
Sijui kwanza napenda nn 😂😂🤣🤣🤣 UNapenda ipi saaa
Huwezi kosa namna. NazisubiriaUtazipataje na Mimi Babu yako nipo Kijijini? 🤗
Kiromo bagamoyo kaka. Karibu na kiromo zooWapi hiyo mkuu?
Aisee nimetamani naipenda ninamwak wa pili sijala nimekatazwa kula nikiona natamanigi kulia🙁
Usijali Mjukuu, Bibi yako anakuja huko soon 😜Huwezi kosa namna. Nazisubiria
Aisee, ngoja nikue kwanza😁Sijui kwanza napenda 😂😂
Kuzuri sana kuwa na mtoko na familia yako siku kama hizi za weekend. Inapendeza!Kiromo bagamoyo kaka. Karibu na kiromo zoo View attachment 2620295
Hongera Genius jamani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi ogopa exams
Pole kisa nini ??Aisee nimetamani naipenda ninamwak wa pili sijala nimekatazwa kula nikiona natamanigi kulia🙁
unaumwa au vipi??Aisee nimetamani naipenda ninamwak wa pili sijala nimekatazwa kula nikiona natamanigi kulia🙁
HahhahaaaAisee, ngoja nikue kwanza😁
Nilikuwa naumwa nikaambiwa nisile mihogo Wala zao linalotana nayo kuanzia kisamvu ugaliwakeunaumwa au vipi??
kijana analeta masihara hapa😂Hahhahaaa
Zamu yako bro , do the needful