Mimi nimetupia jana๐weka yako mama ๐
nifanyie wepesi, nateseka....Mimi nimetupia jana๐
Pole sana๐nifanyie wepesi, nateseka....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niwacheeee huko, mfyuuuuuh.I can't imagine ulivyokuwa unalia na kamasi juu[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
Mchumba ulifanya nini[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niwacheeee huko, mfyuuuuuh.
Senkyuuuuu dear๐๐Welcome dear [emoji8][emoji8][emoji8]
Umenichekesha๐คฃ๐คฃWee huku Nyakiboo Gym zitoke wapiiiโบ๏ธ๐!
Sawa mshamba hachekwi.....View attachment 2616675
It's a slow day....
weka yako sasa tuone....Sawa mshamba hachekwi.....
Msukuma ogNoti fea kabisa
Mama Mchungaji inabidi ajitafakari kwa kweli. Hata kwenye Biblia kutesa watu namna hii hairuhusiwi! ๐๐๐๐ฟโโ๏ธ
We mgeni humu nilishaweka za kutoshaaa.weka yako sasa tuone....
sasa ile umeonyesha tu mgongo aisee ๐We mgeni humu nilishaweka za kutoshaaa.
Ila Jana nikiweka na sijaifuta tafuta utaipata๐คฃ
๐คฃ KwakweliHaya sasa, mmemuona kijana kakua๐๐
Nipo ndugu yangu.Msukuma og
๐คญ๐ Nakusalimia
Zamani kidogo kuna memba alikuwa akiitwa Cute Eyes. Ni wewe mkuu ulibadili ID? Tulikuwa tunaitana mpwa halafu akapotea ghafla. Alikuwa na macho mazuri mno akikuangalia yaani ni kama vile anakukaribisha ukale chakula chenye viungo vyote vinavyojulikana hapa duniani; na kilichopikwa kwa ustadi wa kimalaika. Kama ni wewe sema! ๐๐๐๐Pole sana๐
Dodoma?Nipo ndugu yangu.
Nilikuwa kwenye semina moja ya Mwalimu hivi karibuni nikawa nakodoa macho pengine nitakuona lakini wapi!
Hujambo lakini?
Ooh unataka kuona nn mdogo angu๐คฃsasa ile umeonyesha tu mgongo aisee ๐
sura, miguu๐Ooh unataka kuona nn mdogo angu๐คฃ
Aiseee ๐ค ๐คฃsura, miguu๐
fanya hivyo ๐Aiseee ๐ค ๐คฃ