Pilau shurti lijae kwasababu ya nyama na viazi.πila pilau unajazaga sahani wewe πππ
Fanya hivyo na ugali ππPilau shurti lijae kwasababu ya nyama na viazi.π
Itakuwa una njaa ya kebab na pitta bread.Kwamba ni njaa ilikua inauma?πππ
π₯© bana.
Bosiledi umepiga kelele hadi nimesikia huku Mwakaleli. How are you doing jamani? Nimemiss kuliona pembe la ng'ombeWanakuja Wataikutaaa ukiweka usiifute wizoo akeee.. wapii Saint Anne Mama pasta ametingwa sikuhizi haonekani kabisa Heaven Sent Beeb mnaitwaaa na wizoo hukuuuuuπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈ
Hii Kwa Leo ....more to comeπ
Nkamu kwani mdogo angu Saint Anne hukumpa hela ya vocha; salamu zako hazijafika hadi leo jamaniHello madam
Umemisika sana hapa
Uselfike tafadhali
Saint Anne kuja hapa ujieleze vizuriNkamu kwani mdogo angu Saint Anne hukumpa hela ya vocha; salamu zako hazijafika hadi leo jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee aje aeleze vizuri hadi tumuelewe. Nkamu nimeanza kurudi rudi; tatizo kila nikipita, picha hazifunguki na browser kwangu ni witooooooSaint Anne kuja hapa ujieleze vizuri
πππππππππππππ
Mama mchungaji
Kweli umemisika sana sana
Nimefurahi kukuona
Usisahau kuselfika
Miss You.Nkamu kwani mdogo angu Saint Anne hukumpa hela ya vocha; salamu zako hazijafika hadi leo jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi uhamie browser tu hamna namna mama mchungajiAisee aje aeleze vizuri hadi tumuelewe. Nkamu nimeanza kurudi rudi; tatizo kila nikipita, picha hazifunguki na browser kwangu ni witoooooo
Nakazia.Inabidi uhamie browser tu hamna namna mama mchungaji
Ila nimefurahi kukuona hapa leo
Yaani nilivyokumiss hadi natamani niliee
Uselfike tafadhali
Captain; how have you been?Miss You.
Mama mchungaji Heaven Sent fanya namna tafadhaliNakazia.
Inabidi uhamie browser tu hamna namna mama mchungaji
Ila nimefurahi kukuona hapa leo
Yaani nilivyokumiss hadi natamani niliee
Uselfike tafadhali
[/QUOTE
Good, good, good, umepotea.Captain; how have you been?
Inabidi ahamie tu huku kwetu mpaka kina Max waweke app sawa.Suala la picha kutokufunguka limesababisha aisuse kabisa π
Nimerudi nkamu, utaniona laivuuMama mchungaji Heaven Sent fanya namna tafadhali
Ndio matokeo ya kazi za kujitolea π₯΄π₯΄Itakuwa una njaa ya kebab na pitta bread.
Usijali we maliza research.