Physical Geography uanze kusoma yale Ma Plateau, soil erosion halafu kwenye maisha ya sasa hivi hayakusaidiii lolote πππGeography physical Geog,utachapa hadi uniueπ€£
Nitafutie shule nzuri nianze mdogo mdogo angalau nifike form four jamani.
We...assignment gani ya muda mfupi hivyo????π³π³π³Including you.
Deadline after 5 hrs.
Huu umri nilionao ni wa kutafuta mtoto wa 3 mdogo wangu.Unapata ukiwa na umri wako uho au zile mimba za kimasihara ππ
Epl au uefa?Ya jirani hayakuhusu.
Vipi leo ni team F au team jini?
UEFAEpl au uefa?
Umeshaanza kunipiga chengaπ, haya nambie we unataka iwe muda gani?We...assignment gani ya muda mfupi hivyo????π³π³π³
Alafu mtafiti hajitafiti bana.
Acha hizo mwakani unaenda kwa Mwamposa kuombewa upate mwenye ubavu ambao unaukatalia sasa hivi?Huu umri nilionao ni wa kutafuta mtoto wa 3 mdogo wangu.
Halla Madrid πUEFA
Mbona ww ni mrefu hivyo duuh π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³πππHatupoi hatuboi na ituue tuπView attachment 2615525View attachment 2615527
ππππJamani haaland ni moto aisee sema ngoja nipate kwanza wa liver kuku alafu nitahamia huko mwak huu wangu πππUmeishiwa nyuzi za kuomba? Si heri uombe wa our fellow blue.
Aaliyah Haaland
Timu imeisha hiyo Boss wenu mpya anadhani kununua wachezaji wenye majina ndio kupata mafanikio ππππHatupoi hatuboi na ituue tuπView attachment 2615525View attachment 2615527
Hii sio timu Wewe toka ameondoka yule Muisrael fake sasa imekuwa inagawa point tu nashangaa juzi Bournemouth naye kalegeaaa π€£π€£π€£πππHatupoi hatuboi na ituue tuπView attachment 2615525View attachment 2615527
Niwe mfupi nigundue nn sio mrefu Wala mfupi Niko katikati sijui ndo wapi πMbona ww ni mrefu hivyo duuh π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³
Nilisoma Yale matokeo mara mbili ni sie auπππTimu
Hii sio timu Wewe toka ameondoka yule Muisrael fake sasa imekuwa inagawa point tu nashangaa juzi Bournemouth naye kalegeaaa π€£π€£π€£
Duuh noma sana,, hongera mkuuu πNiwe mfupi nigundue nn sio mrefu Wala mfupi Niko katikati sijui ndo wapi π
Mbona umechelewa sana Mjep unamsikia huyuHuu umri nilionao ni wa kutafuta mtoto wa 3 mdogo wangu.
Asante nashukuru sijawa mfupi maana nilivo na matatizo ningekuwa mfupi sijui ningekuwajeπππDuuh noma sana,, hongera mkuuu π
Njoo Liverpool Wewe πππππππJamani haaland ni moto aisee sema ngoja nipate kwanza wa liver kuku alafu nitahamia huko mwak huu wangu πππ
Alitakiwa awe na wajukuu wawiliMbona umechelewa sana Mjep unamsikia huyu
Hahaha matatizo ni sehemu ya maisha mrembo ππππ.Asante nashukuru sijawa mfupi maana nilivo na matatizo ningekuwa mfupi sijui ningekuwajeπππ