ππKwakweli mm nawish mwanangu awe kipanga lkn mamaake nilirogwa kwenye hesabu yaani ni huzuni hesabu kumi naweza kupata tatuπππnitalipa ada tu kama @wigeleko
It was a good experience.
Ilinifanya niamue kwamba sitokaa nifanye maamuzi yanayonihusu based on other people's actions. Na ndio philosophy yangu mpaka kesho.
It was a good experience.
Ilinifanya niamue kwamba sitokaa nifanye maamuzi yanayonihusu based on other people's actions. Na ndio philosophy yangu mpaka kesho.
Ni kweli inacost sana muhimu ni Kuishi ukiwa unaangalia Unachotaka sio wanachotak watu wengine,Kuna maudhi somtym ila ni kuacha tu yapite kunawatu wanaweza kufanya upite njia isiyo yako