Selfika na JF: Snap it. Show it

Mfundishe maisha huyo dogo
Asipoelewa asije kutoa lawama hapa, Imagine kipindi kile napatwa huo mkasa kulikuwa hakuna mtindo wa kuirukia, wala kuimba na Mic ๐ŸŽค

Sasa miaka yenu hii si ndiyo balaa, watu wanaujuzi hadi wa kumchora Popo akiwa angani ๐Ÿคช๐Ÿ™ˆ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
kila kitu kwa kiasi mzee ๐Ÿ˜‚ ukizidisha umejitakia mwenyewe
 
Dogo nuksi wewe[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ