mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
aisee aisee umejuaje 😂Me nilidhani Wewe ndiyo utamtoa out huyo Dent 🤪
Kwa taarifa nilizozipata kwenye vyanzo vyangu zinaonesha Jamaa boom la mwezi uliopita alizimaliza The Liquid Pub 🤪
Ukimaliza kula matunda na korosho au karanga itakusaidiaEwaaaa😂 vilainishi.....
Mwanaume anatolewaje out?Me nilidhani Wewe ndiyo utamtoa out huyo Dent 🤪
Kwa taarifa nilizozipata kwenye vyanzo vyangu zinaonesha Jamaa boom la mwezi uliopita alizimaliza The Liquid Pub 🤪
Babu naomba ukae nae huyu kijana uongee nae bBa yake Gily na mjomba yake Half american wamemtelekeza hukuMe nilidhani Wewe ndiyo utamtoa out huyo Dent 🤪
Kwa taarifa nilizozipata kwenye vyanzo vyangu zinaonesha Jamaa boom la mwezi uliopita alizimaliza The Liquid Pub 🤪
jamani mara moja tu 😂Mwanaume anatolewaje out?
Usimdanganye huyo dogo akapenda slope wee 😂
Kwahiyo wewe huwezi mto shemeji out?Mwanaume anatolewaje out?
Usimdanganye huyo dogo akapenda slope wee 😂
afu nishushie na aisikirimu sio??😂Ukimaliza kula matunda na korosho au karanga itakusaidia
Utaharibu maji lita mojaafu nishushie na aisikirimu sio??😂
Sema hiyo 25 ni pizza ya kumaliza mtu mmoja. Sio mwendekijijikuna siku nilienda pale, tulikua tunashangaa tu jobless boys 😂nikaona wazungu wanaambia vegeterian buffet ni 400$. ndo maana pale napaogopa....
Wanachuo wengi huwa mnafanana tabia, tena wengine unakuta wametoka kwenye familia duni kupindukia lakini wakifika Chuo anataka kuishi maisha kama Mfanyakazi mwenye kipato cha kila mwezi 🙌aisee aisee umejuaje 😂
Mnikaribishe namm jirani yenu [emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Kwahiyo hata kama Mwanafunzi anatakiwa Kuprovide?Mwanaume anatolewaje out?
Usimdanganye huyo dogo akapenda slope wee 😂
hapo ndo shida ilipo 😂si unajua jobless boys sharing is caring😂Sema hiyo 25 ni pizza ya kumaliza mtu mmoja. Sio mwendekijiji
NiWigee kumbe nawe Uko vizureeee unashusha hadi bible verses hongeraa sana! Kweli Anne kakuza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji1787]!!
Me nimeshampa ushauri hapo juu, anasema yeye yupo matawi ya Juu kama Langa 🤪Babu naomba ukae nae huyu kijana uongee nae bBa yake Gily na mjomba yake Half american wamemtelekeza huku
arusha pakubwa sana, mnakaribishwa woote 😂Mnikaribishe namm jirani yenu [emoji1751][emoji1751][emoji1751]
najua wewe kijana wa dar unashushia na maunten dyuu😂Utaharibu maji lita moja
Hahaha mie niko Arusha ndio maana nkasema majiran zangarusha pakubwa sana, mnakaribishwa woote [emoji23]
nilijua jf wengi ni watu wa dar ila kumbe arusha tumejaa hivi...Hahaha mie niko Arusha ndio maana nkasema majiran zang