Kumbe uko Chuo saivi? Hongera sana
Ukipata boom la field mwezi Ujao, nunua debe zako mbili au 3 za Mchele wa Kamsamba, unanukia kishenzy. Ukipata na Maharage mapya ya Mbeya itafaa zaidi.
Wakati wenzio wanalalia Chai na Mkate wewe unabaki kuwacheki tu π€