Selfika na JF: Snap it. Show it

unyama sana viporo ndo vinatusave wanachuo πŸ˜‚
Kumbe uko Chuo saivi? Hongera sana

Ukipata boom la field mwezi Ujao, nunua debe zako mbili au 3 za Mchele wa Kamsamba, unanukia kishenzy. Ukipata na Maharage mapya ya Mbeya itafaa zaidi.

Wakati wenzio wanalalia Chai na Mkate wewe unabaki kuwacheki tu πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…