mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
ni mwendo wa viporo πEwaaaa haya ndo maneno sasa
Mzee wa mabilinganya Johnnie Walker kimbia utazame chakula
Sahani ya bati, kikombe cha plastick..... halafu unataka kunipeleka kwa hotel?
matajiri tuko humble hatujionyeshi πwe subiria sapuraiziSahani ya bati, kikombe cha plastick..... halafu unataka kunipeleka kwa hotel?
Totoo wacha masihara
Ndio kasufuria ketu ka ugali...alafu mi sijala. πππSufuria ya ugali ndogo
Hiki kikiwa ni kiporo ndiyo kinanoga zaidi, have got so delicious taste π
kabisa kabisa mkuu πkinafaa kwa sisi broke boysπHiki kikiwa ni kiporo ndiyo kinanoga zaidi, have got so delicious taste π
Umeletewa na nani
Mfyuukabisa kabisa mkuu πkinafaa kwa sisi broke boysπ
Daktari ππππUmeletewa na nani
Hahahaa wacha niwe mpolematajiri tuko humble hatujionyeshi πwe subiria sapuraizi
Kwani sijui vinapouzwa ππUmeletewa na nani
Wakati nipo Chuo 2nd Year nilikuwa najipikia ghettoni, kwahiyo kila siku lazima nibakishe kiporo cha kesho yake.kabisa kabisa mkuu πkinafaa kwa sisi broke boysπ
Kwani unaumwa? πDaktari ππππ
Huwezi kujinunulia hivyo weweKwani sijui vinapouzwa ππ
Utabuka mdomo usipende kula wanga na protini
π hata sielewiKwani unaumwa? π
Ahaah uho ni ulafi unakulaje wali umejaa hivyo aseEwaaaa haya ndo maneno sasa
Mzee wa mabilinganya Johnnie Walker kimbia utazame chakula
Sh elf 3 ni kitu mie nikose πHuwezi kujinunulia hivyo wewe