Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Nilijua umelalaš
Nilijua umelalaš
Thatha ndio umeamua unitheme kwa watu ivyoTulia na kisembe chako
Jirani humu nimetupia nyingi sana ujueMimi naselfika sana jirani
Tatizo wewe umekua hadimu sana hapa
Sina mpango wa kulala leoNilijua umelala![]()

Nitumie vocha yangu basi, nasubiria ujueGuu guu kwelišš
Ila mbona umekata sana boss
Ngoja nimuite kibwengo akupe adhabu
Bora nikae kimya hadi ulaleSina mpango wa kulala leo
Yani nilale ili mfanye yenu sio
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Usiwe na hofu, huyo wako peke yakoš
kijana upo wapi w.end yote hii?Thatha ndio umeamua unitheme kwa watu ivyo
Sema wewe unanilinda nisiibiwe tušUsiwe na hofu, huyo wako peke yakoš
Nitamsimulia, weka tuuAaliyah umeshararaa??? Nataka nimalize deni Langu miee fanya ukujee!! Ukuchelewa Kesho nayo ni siku rakini ! kwa sauti ya kanda maalum
Wee Brian ulipotelea wapi kwani kitrambo sana humu!Nitamsimulia, weka tuu
Mimi hapa nilitoka kidogokijana upo wapi w.end yote hii?
Nipo hapa babie galUko wapi raraa reree
Asante sana Boss Lady. Welcoming yako imenifanya nijisikie kama zamani ingawa majina mageni ni mengi sana kwenye uzi.Wee Brian ulipotelea wapi kwani kitrambo sana humu!
Tumekumiso kinoumaaa noumaaa!!
Warmly welcome Brayooo!
Usijareee kabesaaa Nakumbuka nina deni lako ausio!
Karibu teinaa na teinaa selfika!!
Napita naenda kulala ššNipo hapa babie gal
Miguu haitoshi, tuone mpaka usawa wa kiuno
Fanya ka unapandisha kidogo please ee.Napita naenda kulala ššView attachment 2612471
Wageni ni baraka mkuu acha wakuje uzi uchangamke uzuri selfika hainaga mbambambaa waraa neneeeāŗļø!Asante sana Boss Lady. Welcoming yako imenifanya nijisikie kama zamani ingawa majina mageni ni mengi sana kwenye uzi.