Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wageni ni baraka mkuu acha wakuje uzi uchangamke uzuri selfika hainaga mbambambaa waraa neneee☺️!
kuna kitru kinaitwa Bantu Lady ni noumaaa nanusuuuu ikoo lazima ukaeee!!
Ebu fanya kama unatupia kwanza kitrambo sana ujue 😅,!
Wewe mtoto nitakuchapa sasa unajua haaa 😂😂😂😂😂😂 yaani nacheka hapa. Naulizwa nachocheka nashindwa hata kumuelezea 😄😄😄😄🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
 
Wageni ni baraka mkuu acha wakuje uzi uchangamke uzuri selfika hainaga mbambambaa waraa neneee☺️!
kuna kitru kinaitwa Bantu Lady ni noumaaa nanusuuuu ikoo lazima ukaeee!!
Ebu fanya kama unatupia kwanza kitrambo sana ujue 😅,!
Kwa kumbukumbu zangu, ukiwa hapa jukwaa huchangamka sana. Muite basi aje atubless
 
Attachments

  • 20230416_164645.jpg
    20230416_164645.jpg
    1 MB · Views: 7
Back
Top Bottom