Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,434
Mimi pia mwanasheria wa wanyama πππ af nimekuita mtaa mwingine umetajwa et upigwe ban ya maisha mshikaji wangu etu una pumba nyingi humu jf πππ wewe pamoja na mshamba_hachekwiUnajua kuna haki za wanyama nitakushtaki nipige hela π
hahahahaDaah! Wewe jamaa utainjoi sana hahaa
Ngoja dada yako aachike uone πSili vyabure nakula vya shemeji na dada yangu
Usimuogopeshe kijana[emoji23]Ngoja dada yako aachike uone [emoji28]
π nyie si mnapenda mawigi?? Mmeanza lini kupenda short hair!!Jf imebarikiwa warembo, hii short natural curly hair huwa inanipagawishaga sana. Oya raraa reree imeifika wakati tubuni app ya kuondoa hizi emojis tuwafaidi hawa warembo π
Yule jamaa aliyeandika ule uzi ana stress tumsamehe tu πππMimi pia mwanasheria wa wanyama πππ af nimekuita mtaa mwingine umetajwa et upigwe ban ya maisha mshikaji wangu etu una pumba nyingi humu jf πππ wewe pamoja na mshamba_hachekwi
Short hair nzuri sana. Simple things are the best....[emoji23] nyie si mnapenda mawigi?? Mmeanza lini kupenda short hair!!
Hiyo App ikikamilika naihack kabla haijaanza kufanya kazi.
Ase uyo shemeji ataondoka hapa na mabegi yake kwaza analelewa tu πππNgoja dada yako aachike uone π
Apia dogoShort hair nzuri sana. Simple things are the best....
ππππDogo unapiga picha nyumba ya shemeji yako[emoji23]
Ahahaha sikuiz watu wanashobo humu sijapata kuona inakuwaje mtu unamueelezea mtu kwa mtu as if majiraniYule jamaa aliyeandika ule uzi ana stress tumsamehe tu πππ
Na hivo vidimpoz[emoji23] aki[emoji1544]Apia dogo
Wanatafuta umaarufu, badala waende TikTok wanakuja huku...Ahahaha sikuiz watu wanashobo humu sijapata kuona inakuwaje mtu unamueelezea mtu kwa mtu as if majirani
Emu tuione ilivyonogaKeep them coming mamaa[emoji23] umenogesha weekend yangu[emoji23]
ππ ili nipoteeHuyo Toyo atakuangusha arifu
Mwambie akushushe hapo mbele baada ya Impala
Sijabarikiwa sura nzuri nikiiweka humu ntakula ban[emoji23]Emu tuione ilivyonoga
ππ Kβchi kama Kβchinice nice mtoto mlito!
Emu jaribu tuoneSijabarikiwa sura nzuri nikiiweka humu ntakula ban[emoji23]
Mpaka nimemaliza πZinakuja π