Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 May 4, 2023 #324,961 Dr Lizzy said: Embu ni-expose kidogo Click to expand... Haha okay we si ni director unafanya kazi na MC (kifupisho), niendelee?
Dr Lizzy said: Embu ni-expose kidogo Click to expand... Haha okay we si ni director unafanya kazi na MC (kifupisho), niendelee?
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 May 4, 2023 #324,962 Mzee wa kupambania said: Ukimtongoza tu mrembo wa siku hizi hapohapo nywele zinafumuka, gesi inaisha, mara hajala msururu wa shida tupu Click to expand... Tatizo hao watoto wa watu mnakuwa hamna malengo nao, ndio maana nao wanaona wawalie hela zenu tu, kuliko kuachwa mikono mitupu
Mzee wa kupambania said: Ukimtongoza tu mrembo wa siku hizi hapohapo nywele zinafumuka, gesi inaisha, mara hajala msururu wa shida tupu Click to expand... Tatizo hao watoto wa watu mnakuwa hamna malengo nao, ndio maana nao wanaona wawalie hela zenu tu, kuliko kuachwa mikono mitupu
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 May 4, 2023 #324,963 Mzee wa kupambania said: Ukimtongoza tu mrembo wa siku hizi hapohapo nywele zinafumuka, gesi inaisha, mara hajala msururu wa shida tupu πππ Click to expand... Nunueni tu, simtaenda kula lunch & dinner ghetto. ππ
Mzee wa kupambania said: Ukimtongoza tu mrembo wa siku hizi hapohapo nywele zinafumuka, gesi inaisha, mara hajala msururu wa shida tupu πππ Click to expand... Nunueni tu, simtaenda kula lunch & dinner ghetto. ππ
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,306 Reaction score 72,056 May 4, 2023 #324,964 Jadda said: Tatizo hao watoto wa watu mnakuwa hamna malengo nao, ndio maana nao wanaona wawalie hela zenu tu, kuliko kuachwa mikono mitupu Click to expand... sasa hii kutegeana itaisha lini.... if you wanna win, play the game π
Jadda said: Tatizo hao watoto wa watu mnakuwa hamna malengo nao, ndio maana nao wanaona wawalie hela zenu tu, kuliko kuachwa mikono mitupu Click to expand... sasa hii kutegeana itaisha lini.... if you wanna win, play the game π
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 May 4, 2023 #324,965 Jadda said: Haha okay we si ni director unafanya kazi na MC (kifupisho), niendelee? Click to expand... Embu mrefushe huyo MC kwanza. π€
Jadda said: Haha okay we si ni director unafanya kazi na MC (kifupisho), niendelee? Click to expand... Embu mrefushe huyo MC kwanza. π€
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 May 4, 2023 #324,966 National Anthem said: Simuoni malaika aunty wangu Antonnia na Bantu Lady mwenyewe Click to expand... Nipoo mjomba nilikua nacheki wananchi wakitembeza kichapo!
National Anthem said: Simuoni malaika aunty wangu Antonnia na Bantu Lady mwenyewe Click to expand... Nipoo mjomba nilikua nacheki wananchi wakitembeza kichapo!
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,175 Reaction score 56,203 May 4, 2023 #324,967 Antonnia said: Nipoo mjomba nilikua nacheki wananchi wakitwmbeza kichapo! Click to expand... Nime ku miss sanaaaaa aunt wangu hadi naumwaaaa homa πππ
Antonnia said: Nipoo mjomba nilikua nacheki wananchi wakitwmbeza kichapo! Click to expand... Nime ku miss sanaaaaa aunt wangu hadi naumwaaaa homa πππ
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,858 May 4, 2023 #324,968 Jadda said: Tatizo hao watoto wa watu mnakuwa hamna malengo nao, ndio maana nao wanaona wawalie hela zenu tu, kuliko kuachwa mikono mitupu Click to expand... Kwa hiyo mnafanya hivyo kuwakomoa wadau wa hit and run?π
Jadda said: Tatizo hao watoto wa watu mnakuwa hamna malengo nao, ndio maana nao wanaona wawalie hela zenu tu, kuliko kuachwa mikono mitupu Click to expand... Kwa hiyo mnafanya hivyo kuwakomoa wadau wa hit and run?π
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 May 4, 2023 #324,969 National Anthem said: Nime ku miss sanaaaaa aunt wangu hadi naumwaaaa homa πππ Click to expand... Miss you Much more mjombaa! Do the needful jioni yangu iishe vizuri mjombaa!
National Anthem said: Nime ku miss sanaaaaa aunt wangu hadi naumwaaaa homa πππ Click to expand... Miss you Much more mjombaa! Do the needful jioni yangu iishe vizuri mjombaa!
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,858 May 4, 2023 #324,970 mshamba_hachekwi said: kweli kabisa mapenzi ya kweli hayapo.... hao walioishi kwenye ndoa miaka mingi sidhani kama ni mapenzi tu ndo yamewaunganisha.... love is not enough Click to expand... Hakika kuna vitu vimewaunganisha kama undugu, watoto, mali, hawataki kuharibu heshima waliyojiwekea kwenye jamii
mshamba_hachekwi said: kweli kabisa mapenzi ya kweli hayapo.... hao walioishi kwenye ndoa miaka mingi sidhani kama ni mapenzi tu ndo yamewaunganisha.... love is not enough Click to expand... Hakika kuna vitu vimewaunganisha kama undugu, watoto, mali, hawataki kuharibu heshima waliyojiwekea kwenye jamii
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,175 Reaction score 56,203 May 4, 2023 #324,971 Antonnia said: Miss you Much more mjombaa! Do the needful jioni yangu iishe vizuri mjombaa! Click to expand... Keshooo mida kamaaa hiii aunty wangu kipenzi nikupendae π
Antonnia said: Miss you Much more mjombaa! Do the needful jioni yangu iishe vizuri mjombaa! Click to expand... Keshooo mida kamaaa hiii aunty wangu kipenzi nikupendae π
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,858 May 4, 2023 #324,972 Tinsley said: Pesa ya kukidhi basic needs na kausafiri na luxuries kidogo ndo muhimu , hayo mengine extra . Halafu wengine wanawapiga vizinga ili mchomoe Click to expand... Ukijitoa utashangaa baada ya siku kadhaa anakurudia na kameseji "babe mambo miss u"
Tinsley said: Pesa ya kukidhi basic needs na kausafiri na luxuries kidogo ndo muhimu , hayo mengine extra . Halafu wengine wanawapiga vizinga ili mchomoe Click to expand... Ukijitoa utashangaa baada ya siku kadhaa anakurudia na kameseji "babe mambo miss u"
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 May 4, 2023 #324,973 National Anthem said: Keshooo mida kamaaa hiii aunty wangu kipenzi nikupendae π Click to expand... Haina nomaa mjomba akee lemme wait hio tomorrow!!
National Anthem said: Keshooo mida kamaaa hiii aunty wangu kipenzi nikupendae π Click to expand... Haina nomaa mjomba akee lemme wait hio tomorrow!!
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,306 Reaction score 72,056 May 4, 2023 #324,974 Mzee wa kupambania said: Hakika kuna vitu vimewaunganisha kama undugu, watoto, mali, hawataki kuharibu heshima waliyojiwekea kwenye jamii Click to expand... ndio, na pia mi naona love is just a hormonal reaction π kinachofanya mapenzi ya dumu ni vitu kama kuheshimiana, mipaka, kuaminiana, kusikilizana, na kuwa muwazi....
Mzee wa kupambania said: Hakika kuna vitu vimewaunganisha kama undugu, watoto, mali, hawataki kuharibu heshima waliyojiwekea kwenye jamii Click to expand... ndio, na pia mi naona love is just a hormonal reaction π kinachofanya mapenzi ya dumu ni vitu kama kuheshimiana, mipaka, kuaminiana, kusikilizana, na kuwa muwazi....
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,175 Reaction score 56,203 May 4, 2023 #324,975 Antonnia said: Haina nomaa mjomba akee lemme wait hio tomorrow!! Click to expand... π₯°πππ€π€π€π€
Antonnia said: Haina nomaa mjomba akee lemme wait hio tomorrow!! Click to expand... π₯°πππ€π€π€π€
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 May 4, 2023 #324,976 Mzee wa kupambania said: Ukijitoa utashangaa baada ya siku kadhaa anakurudia na kameseji "babe mambo miss u" Click to expand... Unamfariji tu , Sema kuna wanaume wanajua kutoa aisee , wabarikiwe , toeni tu jamani .
Mzee wa kupambania said: Ukijitoa utashangaa baada ya siku kadhaa anakurudia na kameseji "babe mambo miss u" Click to expand... Unamfariji tu , Sema kuna wanaume wanajua kutoa aisee , wabarikiwe , toeni tu jamani .
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 May 4, 2023 #324,977 Tinsley said: Well said . Click to expand... Kwako Sina wasiwasi Ila usithubutu kuniita Kaka
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,508 Reaction score 35,698 May 4, 2023 #324,978 Dr Lizzy said: βΊοΈβΊοΈ Ila cotterpin , raraa reree sio yule boss wako mwenye folder la picha zetu kweli??? Click to expand... Unaniita mimi boss π au nimekosea kusoma hicho cheo sina toka nazaliwa π
Dr Lizzy said: βΊοΈβΊοΈ Ila cotterpin , raraa reree sio yule boss wako mwenye folder la picha zetu kweli??? Click to expand... Unaniita mimi boss π au nimekosea kusoma hicho cheo sina toka nazaliwa π
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,858 May 4, 2023 #324,979 Tinsley said: Unamfariji tu , Sema kuna wanaume wanajua kutoa aisee , wabarikiwe , toeni tu jamani . Click to expand... kumbuka hela ya mwanamume haiendagi bure
Tinsley said: Unamfariji tu , Sema kuna wanaume wanajua kutoa aisee , wabarikiwe , toeni tu jamani . Click to expand... kumbuka hela ya mwanamume haiendagi bure
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,508 Reaction score 35,698 May 4, 2023 #324,980 Jadda said: Kwani haumfahamu Dr Lizzy mbona Ni maarufu kiasi Click to expand... Ni maarufu ndio saaana tu ila kwa mzigo alioshusha leo imebidi binafsi nimpatie π yake π
Jadda said: Kwani haumfahamu Dr Lizzy mbona Ni maarufu kiasi Click to expand... Ni maarufu ndio saaana tu ila kwa mzigo alioshusha leo imebidi binafsi nimpatie π yake π