Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 May 4, 2023 #324,941 Jadda said: Kwani haumfahamu Dr Lizzy mbona Ni maarufu kiasi Click to expand... Wait....what? Wapi...lini...how??π Nijue .aana umaarufu ni hela kabisa!!!
Jadda said: Kwani haumfahamu Dr Lizzy mbona Ni maarufu kiasi Click to expand... Wait....what? Wapi...lini...how??π Nijue .aana umaarufu ni hela kabisa!!!
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 May 4, 2023 #324,942 Dr Lizzy said: Wait....what? Wapi...lini...how??π Nijue .aana umaarufu ni hela kabisa!!! Click to expand... Hivi Dr Lizzy we ni med. Doctor kweli au ni jina tu πππππ I'm curious
Dr Lizzy said: Wait....what? Wapi...lini...how??π Nijue .aana umaarufu ni hela kabisa!!! Click to expand... Hivi Dr Lizzy we ni med. Doctor kweli au ni jina tu πππππ I'm curious
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,857 May 4, 2023 #324,943 Tinsley said: Hao ni pisi kali aisee , kipato cha nini jamani , vizuri vina gharama hivyo wahudumieni tu , mle mema ya nchi Click to expand... Hahahaa ndo maana saivi kuna msemo kwa wanaume 'tafuta hela' haijalishi mwanamke gani wote wanataka hela tu
Tinsley said: Hao ni pisi kali aisee , kipato cha nini jamani , vizuri vina gharama hivyo wahudumieni tu , mle mema ya nchi Click to expand... Hahahaa ndo maana saivi kuna msemo kwa wanaume 'tafuta hela' haijalishi mwanamke gani wote wanataka hela tu
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,973 Reaction score 26,963 May 4, 2023 #324,944 Manyanza said: It is You? π€£π€£π€£π€£ Click to expand... π€£π€£π€£π€£eeeh eeeh eeh.
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,973 Reaction score 26,963 May 4, 2023 #324,945 Manyanza said: It is You? π€£π€£π€£π€£ Click to expand... Nmepaliwa hadi
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,857 May 4, 2023 #324,946 Dr Lizzy said: I'm sure baadhi huwa wanachangamsha genge tu. Besides, hata anaenokena hana hela kwa kiwango cha huyu au yule, kuna mtu mahali anamuona ana hela. Click to expand... Kwa hiyo umeona bado hela inahusika
Dr Lizzy said: I'm sure baadhi huwa wanachangamsha genge tu. Besides, hata anaenokena hana hela kwa kiwango cha huyu au yule, kuna mtu mahali anamuona ana hela. Click to expand... Kwa hiyo umeona bado hela inahusika
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 May 4, 2023 #324,947 ye34nbe said: Hivi Dr Lizzy we ni med. Doctor kweli au ni jina tu πππππ I'm curious Click to expand... ππ Wa kizushi tu, japo ni psychologist kasoro cheti.
ye34nbe said: Hivi Dr Lizzy we ni med. Doctor kweli au ni jina tu πππππ I'm curious Click to expand... ππ Wa kizushi tu, japo ni psychologist kasoro cheti.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,954 Reaction score 831,488 May 4, 2023 Thread starter #324,948
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 May 4, 2023 #324,949 Mzee wa kupambania said: Kwa hiyo umeona bado hela inahusika Click to expand... Maisha mnayafanya yawe magumu nyie wenyewe Mzee wa kupambania π
Mzee wa kupambania said: Kwa hiyo umeona bado hela inahusika Click to expand... Maisha mnayafanya yawe magumu nyie wenyewe Mzee wa kupambania π
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,175 Reaction score 56,203 May 4, 2023 #324,950 raraa reree said: Nipo hapa kuunganisha vipande mpaka nitapata sura nzima Mtoto unatupia vitu π₯ aisee mimj ngojea nikupe tu π π Click to expand... Mpe Jeep niwe chawa wako au wasemaje Dr Lizzy
raraa reree said: Nipo hapa kuunganisha vipande mpaka nitapata sura nzima Mtoto unatupia vitu π₯ aisee mimj ngojea nikupe tu π π Click to expand... Mpe Jeep niwe chawa wako au wasemaje Dr Lizzy
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,175 Reaction score 56,203 May 4, 2023 #324,951 Mzee wa kupambania said: Mfano mzuri humu jf wanawake wanasemaga wazi kuwa mwanamume asipokuwa na pesa hapana. Mnadai pesa za mwanamume tamu Click to expand... Kama huna pesa nyeto inakuhusu
Mzee wa kupambania said: Mfano mzuri humu jf wanawake wanasemaga wazi kuwa mwanamume asipokuwa na pesa hapana. Mnadai pesa za mwanamume tamu Click to expand... Kama huna pesa nyeto inakuhusu
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 May 4, 2023 #324,952 National Anthem said: Mpe Jeep niwe chawa wako au wasemaje Dr Lizzy Click to expand... Naunga hoja mkono!! π
National Anthem said: Mpe Jeep niwe chawa wako au wasemaje Dr Lizzy Click to expand... Naunga hoja mkono!! π
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 May 4, 2023 #324,953 Dr Lizzy said: Wait....what? Wapi...lini...how?? Nijue .aana umaarufu ni hela kabisa!!! Click to expand... Mimi sikujui ila Nakufahamu sasa nikielezea hapa umaarufu wako si nitakuexpose jamani
Dr Lizzy said: Wait....what? Wapi...lini...how?? Nijue .aana umaarufu ni hela kabisa!!! Click to expand... Mimi sikujui ila Nakufahamu sasa nikielezea hapa umaarufu wako si nitakuexpose jamani
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,857 May 4, 2023 #324,954 National Anthem said: Kama huna pesa nyeto inakuhusu Click to expand... Kabisa mkuu ni mwendo wa kujichukulia sheria mkononi
National Anthem said: Kama huna pesa nyeto inakuhusu Click to expand... Kabisa mkuu ni mwendo wa kujichukulia sheria mkononi
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 May 4, 2023 #324,955 Mzee wa kupambania said: Vizinga vinatofautina lakini kikweli kwa sasa bila pesa ni ngumu. Utakuta mwanamume anaulizwa unafanya kazi gani/wapi? Au utasikia kwani wewe kibarua wapi? Wasio na aibu wanauliza hadi mshahara. Yote hiyo ni kutaka kukadiria kipato chako Click to expand... Pesa ya kukidhi basic needs na kausafiri na luxuries kidogo ndo muhimu , hayo mengine extra . Halafu wengine wanawapiga vizinga ili mchomoe
Mzee wa kupambania said: Vizinga vinatofautina lakini kikweli kwa sasa bila pesa ni ngumu. Utakuta mwanamume anaulizwa unafanya kazi gani/wapi? Au utasikia kwani wewe kibarua wapi? Wasio na aibu wanauliza hadi mshahara. Yote hiyo ni kutaka kukadiria kipato chako Click to expand... Pesa ya kukidhi basic needs na kausafiri na luxuries kidogo ndo muhimu , hayo mengine extra . Halafu wengine wanawapiga vizinga ili mchomoe
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 May 4, 2023 #324,956 Dr Lizzy said: ππ Wa kizushi tu, japo ni psychologist kasoro cheti. Click to expand... Ohh wonderful ASEE, mdada mwenye akili zake π€π€π€π€π€π€ BLESS UP π€π
Dr Lizzy said: ππ Wa kizushi tu, japo ni psychologist kasoro cheti. Click to expand... Ohh wonderful ASEE, mdada mwenye akili zake π€π€π€π€π€π€ BLESS UP π€π
National Anthem JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 19,175 Reaction score 56,203 May 4, 2023 #324,957 Simuoni malaika aunty wangu Antonnia na Bantu Lady mwenyewe
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 May 4, 2023 #324,958 Jadda said: Mimi sikujui ila Nakufahamu sasa nikielezea hapa umaarufu wako si nitakuexpose jamani Click to expand... Embu ni-expose kidogo π€
Jadda said: Mimi sikujui ila Nakufahamu sasa nikielezea hapa umaarufu wako si nitakuexpose jamani Click to expand... Embu ni-expose kidogo π€
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 22,304 Reaction score 72,055 May 4, 2023 #324,959 Mzee wa kupambania said: Kabisa mkuu ni mwendo wa kujichukulia sheria mkononi Click to expand... kweli kabisa mapenzi ya kweli hayapo.... hao walioishi kwenye ndoa miaka mingi sidhani kama ni mapenzi tu ndo yamewaunganisha.... love is not enough
Mzee wa kupambania said: Kabisa mkuu ni mwendo wa kujichukulia sheria mkononi Click to expand... kweli kabisa mapenzi ya kweli hayapo.... hao walioishi kwenye ndoa miaka mingi sidhani kama ni mapenzi tu ndo yamewaunganisha.... love is not enough
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,857 May 4, 2023 #324,960 Dr Lizzy said: Maisha mnayafanya yawe magumu nyie wenyewe Mzee wa kupambania π Click to expand... Ukimtongoza tu mrembo wa siku hizi hapohapo nywele zinafumuka, gesi inaisha, mara hajala msururu wa shida tupu πππ
Dr Lizzy said: Maisha mnayafanya yawe magumu nyie wenyewe Mzee wa kupambania π Click to expand... Ukimtongoza tu mrembo wa siku hizi hapohapo nywele zinafumuka, gesi inaisha, mara hajala msururu wa shida tupu πππ