Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

#tbt
Screenshot_20230504_122156_Photo Editor.jpg
 
20230504_114915.jpg

Kweli Serikali imeupiga mwingi, kutoka kutoa umiliki wa miaka 99 ya ardhi hadi kuwa miaka 33🤔

Yaani ile watoto na ndugu wakigombea urithi kwa kupelekana Mahakamani, ghafla unakuta mmiliki ameshageuka kutoka kwa Marehemu kuwa ni Serikali 🙆‍♀️🙌

Hello Thursday 👋
 
Back
Top Bottom