Akhsaaannteeeeehhh πΊπΊππ!Kabisa asante kwa kutubless asubuhii, kila kitu kitaenda sawa sasa mtoto mzuri, mtoto shepu. Mtoto namba 1,2,3 zote zako. Utake nini tena π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Kichwa na kifua ntatuma 2028 π π πAririririiirih ππππ!
Kweli leoo auntie ajee kafurahiiii Bantu Lady usikae Mbali dearr mambo ni motroooo Faiyaaaa π₯π₯π₯!!
Santoo sana nasubiria kichwaaa kama kichwa ausio ππ€£!
Weee acha hizoooooo auntie!!Kichwa na kifua ntatuma 2028 π π π
Duuh maaana,,,, au basi ila sio leo asee
Ntakutag nikujulishe,,,, usikonde aunt ππ
Nina hasira nao hao Yanga dadeki
Wachaaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipigie first class Mjukuu, nataka niwatambie majirani huku kwamba Babu yenu nina Mjukuu kipanga hapo Mlimani [emoji847][emoji123]
Jana na Leoπ
Tuliozoea kula ugali asubuhi badala ya Chai hapa tunaona ni kama kuonja tu π
Hakikisha unamwoa binti wa watu, mambo ya kumwambia ulikuwa unampa uzoefu sisi Wazee wake hatutaki πView attachment 2605911
Aliye kwambia nafanya kazi nani
Hakikisha unamwoa binti wa watu, mambo ya kumwambia ulikuwa unampa uzoefu sisi Wazee wake hatutaki [emoji12]
mzima weweJana na Leo
Wewe jinyonge tu na kombe tunachukuaNina hasira nao hao Yanga dadeki
Mimi mzima Mamymzima wewe
π π basi asubiri amalize chuo kwanza mabata yapo tu