Nilipita kuwasalimia wapendwa.
Tuendelee kuchukua tahadhari majumbani kwetu,
Msiache switch on jamani
Umeme una mengi.
Tulipata ajali ya moto...almost vitu vyote chunbani vimeungua..maisha yanaanza upya kununua kila kitu upya.
Ashukuriwe Mungu,hakuna aliyeumia
Na moto ulidhibitiwa,haukufika vyumba vingine na sehuleni.
Uliishia koridoni.