Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilipita kuwasalimia wapendwa.

Tuendelee kuchukua tahadhari majumbani kwetu,
Msiache switch on jamani

Umeme una mengi.

Tulipata ajali ya moto...almost vitu vyote chunbani vimeungua..maisha yanaanza upya kununua kila kitu upya.
Ashukuriwe Mungu,hakuna aliyeumia
Na moto ulidhibitiwa,haukufika vyumba vingine na sehuleni.
Uliishia koridoni.
 
Duh.......
Pole sana nkamu
 
Poleni sana
 

Hakika Mungu ni mwema poleni sana na hongereni kutoka salama !!
Huku kwetu huu msimu wa mvua vitu vinaunguaga sana Kutokana na Radi na kuacha switch on!!
kwelii tahadhari muhimu sana wapendwa!!
 
Zinanitosha.
Za 2008 ni sketi solo.
Solo huwa ni freesize.

Nyingine kama hilo gauni ni Mpira..kwahiyo inafata mwili.

Nyingine ni vitenge..huwa napunguza na kuongeza.japo hata sijabadilika sana,, naona nakuwaga vilevile tu.
duh una kamwili kazuri . Nguo za huko chini nimegawa zote . Vipi mvua huko
 
Mtrotro lipsssss mtrotro unajustiriiiii weeehh unaoneshaka Uko mtramuuu kinouma
Wew huyo kama kawaida YakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usijareee kabesaaa babuu salamu zimefika!!
Kabisa ufanye hivo tumemiss kuona ile misulii☺️🀭!! kwa sauti ya Aaliyyah ☺️
Ile misuli acha kabisa ndugu ooh ni noma Sana Babu hafai kabisa πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…