Bantu Lady naomba unisaidie hapa ukitaja wewe tu itakuwa umenitendea haki kwa unavyomjua huyu pacha wako eti anaweza nibless nini mimi muda huu Antonnia njoo uchukue majibu ya nachotaka kupokea
Mzima kipenzi, niko na msiba, ndiyo maana nimepotea kidogo. Bibi yangu amefariki. Ila nipo luv. Leo naona mwana mpotevu Tayukwa kaonekana. Atubless usimuachie