National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Acha tubaki shamba tusake hela, nyie safisheni tu machoSema kweli kuona kina mbantu kadhaa wakitembea barabarani! Ni fahari tosha.
Haha ndomana huwa Kuna msemo; njooni Mjini msafishe macho
Huwez amini kipenz sikufanya chochote nimeshinda ndani nimelala nimepika chakula Cha kawaida nilikuwa mwenyew sikuwa na mood kabisaNipoo dearrr tunapishana tyuuu!!!
Eid ukala pekeako jamanee!! Nikasubiria mualiko kimyaaaa lol!!😊
June tukifunga lazima nije tulipizee asee madikodiko yako noumaaa nanusuuuu!! 😍😍Huwez amini kipenz sikufanya chochote nimeshinda ndani nimelala nimepika chakula Cha kawaida nilikuwa mwenyew sikuwa na mood kabisa
Wew nambie unakuja lini nikufanyie maajabu 😍tulipie Idd
ImethibitishwaDr acha kabisa… natangaza ndoa soon
Alafu sikuhiz mdogowako nafuga na kuku ni kukuchagulia Mkubwa tu uenjoy😍June tukifunga lazima nije tulipizee asee madikodiko yako noumaaa nanusuuuu!! 😍😍
Ni ww unalamba vidole?
figo76 njooo mcheki bwana wako 😁😁😁😁😁😁😁😁😁®️®️®️®️
Naonaga mnachekeleana kwenye thread zako kule au sio ww 🤔🤔Kashakuwa bwana wangu tena?
Lol can't wait...kuna lile pilau ukipostigi humu na minyama ya kyukyuu na chachandu pembeni alooo😋😋😋😋😋! Mpaka waleo halitoki kichwani!Alafu sikuhiz mdogowako nafuga na kuku ni kukuchagulia Mkubwa tu uenjoy😍
Kwahiyo nisicheke na watu nicheke na kima?Naonaga mnachekeleana kwenye thread zako kule au sio ww 🤔🤔
Hadi kujilamba vidole,, Kweli kilikua kitamu!!
Mmmmmh kucheka na watu ni kitu cha kawaida sana mkuuuu,,,,,,,,Kwahiyo nisicheke na watu nicheke na kima?
Ila nyie watu wa humu hapaMmmmmh kucheka na watu ni kitu cha kawaida sana mkuuuu,,,,,,,,
sijasema ucheke na kima
HATA MIMI NACHEKA NA WATU WENGI SANA HUMU HATA WANAWAKE ILA KUNA NAMNA UKICHEKA NA MTU UNAONA KUNA KITU KATI YAO
ILA TULIOSOMA CUBA TUNAELEWA SANA ALAMA ZA MAANDISHI MKUUU NA NIMESHAKUSOMA LONG SANA KUWA UNA MFEEL JAMAA KWANI NI VIBAYA MKAYAJENGA MKUUU 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
NATANIA BANA SIPO SERIOUS
Usichukulie serious natania tuIla nyie watu wa humu hapa
Sasa nipate shida kisa skendo? Za humuUsichukulie serious natania tu
Kuwa na amani 😁😁😁😁😁😁😂
#JF HAINA SIRI#
😅😅😅 ,,,,, acha tuishie hapa kwa leoSasa nipate shida kisa skendo? Za humu
Umbea nao ni mbaya sana kwa mwanaume haswa ukiwa huna kazi😅😅😅 ,,,,, acha tuishie hapa kwa leo
😎😎