Hio mixa yake noumaaa sanaa mjomba!! I hope umeenjoy huo mloo!!Kitimoto na karanga mbichiii πππ
View attachment 2597153
Hapa namalizia tende na maziwaaa aunty wanguuu⦠yani bampa to bampa tuuHio mixa yake noumaaa sanaa mjomba!! I hope umeenjoy huo mloo!!
Lol tumbo halitavurugika kweli mjomba??? Una hasira na mtuuu niniii utauaaaaa mjombaaaππππ!Hapa namalizia tende na maziwaaa aunty wanguuuβ¦ yani bampa to bampa tuu
Nakuja na zawadeee zako, nashebaaaa vizuriiii.:: niandalie mihogoooo tuuu mibichiiLol tumbo halitavurugika kweli mjomba??? Una hasira na mtuuu niniii utauaaaaa mjombaaaππππ!
Na mihogo tena mjomba una balaa ujue! Huchelewi kuongezea mdendaa dendaa wewee hatarii kwa afya hio ujueπ!!Nakuja na zawadeee zako, nashebaaaa vizuriiii.:: niandalie mihogoooo tuuu mibichii
NdyoooWacha wee[emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu umenikumbusha na kachai hata vikombe viwili vya mdindanda πππ na tuna vipande twa nazi na vi korosho vyenye chumvi kwa mbalii, jionee tunaanzia wapi sasa maana hali ya hewa nzuri hii tunaweza tembea sanaaa bila kuchokaa na hivi damu zinaendenaππNa mihogo tena mjomba una balaa weweee! Huchelewi kuongezea mdendaa dendaa wewee hatarii kwa afya hio ujueπ!!
Dogo mwenye heka heka zako nakuona umeingizanaπππNdyooo
Hatariiiiiii sana hio mjombaa utauaaaaaa mjombaaa!Alafu umenikumbusha na kachai hata vikombe viwili vya mdindanda πππ na tuna vipande twa nazi na vi korosho vyenye chumvi kwa mbalii, jionee tunaanzia wapi sasa maana hali ya hewa nzuri hii tunaweza tembea sanaaa ππ
πππ hakuna nmnaa malkia wanguuu aunty wanguuu kuvumilia ndio hukooo sasa π€π€π€Hatariiiiiii sana hio mjombaa utauaaaaaa mjombaaa!
Hio haifaiii ni Hatari kwa afyaaa mjombaa!!πππ hakuna nmnaa malkia wanguuu aunty wanguuu kuvumilia ndio hukooo sasa π€π€π€
Ipi inayofaa , tubadilishe dozi πππHio haifaiii ni Hatari kwa afyaaa mjombaa!!
Ndio umeachiwa[emoji1787]Kitimoto na karanga mbichiii [emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 2597153
Bado bado labda kesho , ameenda saloon ndio nimepata upenyoo hata wa kushika simuNdio umeachiwa[emoji1787]
Halafu LovelovieLol tumbo halitavurugika kweli mjomba??? Una hasira na mtuuu niniii utauaaaaa mjombaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji4]!
Wee Wige Amekuaje sis angu kwani???
Nimemkumbuka tu[emoji1787]Wee Wige Amekuaje sis angu kwani???
Wigee una vitukoo wewee lol!! sis akee yuko poa kabisa!!Nimemkumbuka tu[emoji1787]
Nipo maternity leave π€£π€£π€£