Selfika na JF: Snap it. Show it

Ooooh nmejifunza kitu
 
kuna kipindi niliona watu wanafanyiana hivyo,, sema wenyewe walikuwa wanafanyiana kwa ubaya hadi kuna mtu aliwahi kuanzisha uzi kuwa kuna member ni kinara wa kuedit comments za wenzie mods wamshughulikie.. hata mimi kuna mtu aliwahi kunifanyia hivyo kwa ubaya
Hiyo ni revisheni tu ya jeiefu chit chat enzi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…