Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,278
Duh jamaa yangu leo umetusha mzee huo mchanganyiko umekosekana soseji na nyama ya kusagwaView attachment 2595315
Kula chuma hiko
Duh jamaa yangu leo umetusha mzee huo mchanganyiko umekosekana soseji na nyama ya kusagwaView attachment 2595315
Kula chuma hiko
Hapa mimi nilichanganya cabeg,Mayai,karoti,na hoho bila kusahau chumviView attachment 2595315
Kula chuma hiko
Hapa mimi nilichanganya cabeg,Mayai,karoti,na hoho bila kusahau chumvi
Umetisha sana kumbe wanaume tunajua kupika kuliko wanawake wanaume moja moja peponi kama achraf hakim
Ngoja nitaanza kuweka misosi ninayo andaa
Usisahau kupiga wale wenye katerero
Maji ya huku yana hatari, ni kuwa muangalifu tu unaweza jikuta unaachiwa nyekundu..
Ohooo mpime kwanza mkuu au tumia condom
Umetisha sana kumbe wanaume tunajua kupika kuliko wanawake wanaume moja moja peponi kama achraf hakim
Zege ka la wavuvi kempu 🔥View attachment 2595315
Kula chuma hiko
Kumbe hata weweYes of course!!
Nimepatiaa???![]()

Tena sio tuUsisahau kupiga wale wenye katerero
NakaziaGanda halina ladha kwenye ile kitu aise
Kwa kweliiii.ashindwe yeye tu , tucheze harusi