Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha..................kuliko kupigana Risasi bora mkubaliane wote Mumuoe huyo Mjukuu, iwe kama India, Mrembo mmoja anaolewa na Wanaume 2😜

Sijui wenzetu kule hawana Wivu πŸ™†β€β™‚οΈ
Hilo haliwezekani kabizaa , ulishawai ona simba wafalme kuishi eneo moja ? Kanuni ni lazima mmoja akufe πŸ˜…πŸ˜…
 
Hahahaha..................kuliko kupigana Risasi bora mkubaliane wote Mumuoe huyo Mjukuu, iwe kama India, Mrembo mmoja anaolewa na Wanaume 2😜

Sijui wenzetu kule hawana Wivu πŸ™†β€β™‚οΈ
🀣🀣🀣!
Babuu mie Roho yangu ipo kwa mjedaa Kwani si ndie alieleta posa kwako lakini acha kujizima dataa granpa akee basiiπŸ˜ŠπŸ˜‚!
 
🀣🀣🀣!
Babuu mie Roho yangu ipo kwa mjedaa Kwani si ndie alieleta posa kwako lakini acha kujizima dataa granpa akee basiiπŸ˜ŠπŸ˜‚!
Hahahaha....................nilikuwa nawaza kwa Uzee huu jamani nitawezaje kuamua ugomvi wa watu wenye maRisasi.

Nisije kufa kwa Presha bure Mjukuu😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…