Selfika na JF: Snap it. Show it

Huko yudi mna moto
Mshanunua ma abaya[emoji91][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambiajeee nna heka heka balaaa, nilinunua mda mie mbna, liko tyuuh ndani.

Siku ya kufungua begi zangu watu watakutana na kila nguo washangaee, uwiiiiiiih
 
Makumbusho kuonja bisi [emoji1787]
Nilivyotoka kwenu yudi
Nikaenda zangu kuonja bisi
Ila kuna wakaka wanajua kujipigilia, kunukia, yaan wako co smart, kuna huyo m1 mie pigo zake hoiii,
Ile harufu yake siku sio nyingi ntamuuliza anatumia perfume au body spray ipi, noumaaa.

Afu kajua km namu admire, bas mda wote nikiwepo nae anakua around. Mweeeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…