Selfika na JF: Snap it. Show it

Babu subiri kidogo utakanyaga wire wa network tumsubirie kwanza Bantu Lady akuje the tuuangalie ubora wa zege na nondo zake
Huyo Bantu Lady inasemekana alisoma masomo ya Sanaa na biashara, hapa kwenye mambo magumu lazima atakuwa anaona mapicha picha πŸ˜œπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
NImenuna balaa mnisamehe vya Kikurya vilipanda 🀣🀣🀣🀣🀣View attachment 2593980
Akhsaaannteeeeehhh 😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘!!
Mtrotro whiteeeeeee mtrotro jichooo jichooo weuuweehh!!!!

Wabheja sana mamalaoo hakika mchana wangu unaenda kuwa fureeeeeeeeesssshhh kabisaaa!!
 
NImenuna balaa mnisamehe vya Kikurya vilipanda 🀣🀣🀣🀣🀣
Zaidi ya mara8 naandika nasifiaaa nafuta naona bado sifa hazitoshi kwa ulimbwende wako
Lakini ngoja kwanza niseme hiki cha kipuuzi na wala si kikubwa.

Suala zima la Lunch yako kwa wiki mbili hizi niachie mimi Bantu Lady
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…