Ukishafika Umri wa kuanzia miaka 50 kuendelea ni wakati wa kufanya matengenezo ya Kiroho kwa kuwa karibu na Muumba.
Ndiyo maana Zakayo mtoza Ushuru(kwenye hadithi za Agano Jipya), aliona ni vyema kuwarudishia kiasi cha fedha mara mbili wale wote aliowadhurumu mali kwa kuwabambikia Kodi isivyo halali.
Umri wa Zakayo wakati ule ilikuwa miaka 52, wakati mimi nimevuka Umri huo miaka ile ya 80's 🤗🏃♂️🏃♂️