leo watu mmeniamulia na hii Tecno yangu, chuoni kuna mtu kanichambaa najifaragua buree akati cm enyewe toleo LA 2016, yaan badala ya kukasirika nikacheka.
Wee tena unanichambaa hapa, jaman mniachee hiyo hela ya I4n bora nifanyie kitu kinginee.
Huyo cuzooo akuje aninunulie Samsung. Mweeeeh