Okay ngoja tuone upiteInakuwaga tu upepo mbaya unapita mara moja moja
Ila muda mwingi kunakuwa poa.
Majirani zako wanaendeleaje?
Kazi unayo🤣Okay ngoja tuone upite
Hehehehe najuta kukaa hapa , siku zikwende nihameapo nilihisi nitaweza kumbe lol 😝😝😝
This the only thing I look forward to, after a long day of work.
Nitahama hadi nikomeKazi unayo🤣
Mimi ninapokaa Kuna nyumba Mbili 2 tu ndani ya fance.
Ila nilikuwa nawaza itakuwaje,maana mm kuzoeana na mtu aisee ni mzito.
Tafuta porini porini kama Goba,huku mbeziNitahama hadi nikome
jamani watu wanaongea hao ... halafu nikawa mvivu nachelewa kutoka lol .
bora huko aisee natamani hadi kurudi nyumbani lol 😆😆
How did you know?msosi watching a documentary,praying,then bed ready for another day.This the only thing I look forward to, after a long day of work.
Indica.Samahani
Hii ni nini[emoji2960]
Goba nilitakaga kukaa kipindi muda fulani .Tafuta porini porini kama Goba,huku mbezi
Hakuna watu wengi.
Indica.
Goba kuzuriGoba nilitakaga kukaa kipindi muda fulani .
Au nisogee mbele ..niwaache wenye jiji lao 😆😆
Monday
YeahGoba kuzuri
Pametulia sana
Monday
Monday
Umepata Lodge ???Nyie nyie nyie mrembo namba E kbsa
Shida yake ndio hiyoYeah
pako poa sana ...
napapenda huku gari la moja kwa moja .
daladala si unajua tena shosti
Nikugeuze uwe mwamvuli wanguNatamani ningekuwa huo mwamvuli[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Kinyerezi hapoUdongo mzur kama wa kinyerezi